UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE - Tanzania
UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE - Tanzania
UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE - Tanzania
 • UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE - Tanzania
 • UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE - Tanzania
 • UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, DALILI ZAKE, SABABU ZAKE NA MATIBABU YAKE - Tanzania
Description :

Bawasiri ni nini?
Bawasiri Ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk

▶️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI:

▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Presha ya kupanda
▶️ Kula sana pilipili
▶️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)

*AINA ZA BAWASIRI*⤵️
-Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵

1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya ndani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵

1. *HATUA YA KWANZA*
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.

2. *HATUA YA PILI*
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

3. *HATUA YA TATU*
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda

4. *HATUA YA NNE*
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

*DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI*
1.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data