Tunauza Viwanja Pangani Kibaha

Tunauza Viwanja Pangani Kibaha - Tanzania
Tunauza Viwanja Pangani Kibaha - Tanzania
 • Tunauza Viwanja Pangani Kibaha - Tanzania
 • Tunauza Viwanja Pangani Kibaha - Tanzania

Transaction Typesell

Area825 m2

Description :

⚫Bei ya viwanja cash ni 9,000 kwa square meter moja na kwa installment bei ni 9,500 kwa square meter moja.
⚫Viwanja hivi vipo karibu na soko la Loliondo.
⚫Mradi huu upo karibu na stand kuu ya mabus ya Maili moja.
⚫Viwanja vipo umbali wa Kilometre 2.5 kutoka Morogoro road.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali.
⚫Pia viwanja hivi vimepimwa na utapata hati.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Tuna miradi mingine ya viwnja maeneo ya Misugusugu Kibaha,Vikawe, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mbutu Beach Plot Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Mapinga Bagamoyo, na kwa Dodoma tuna miradi ya viwanja maeneo ya Ihumwa Elshaadai, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Chahwa, Iyumbu West, Mahoma Makulu, Itega.
⚫Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo Capital City Mall...Karibu sana.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data