Tunauza Viwanja Chekeni Mwasonga Kigamboni

Tunauza Viwanja Chekeni Mwasonga Kigamboni - Tanzania
Tunauza Viwanja Chekeni Mwasonga Kigamboni - Tanzania
  • Tunauza Viwanja Chekeni Mwasonga Kigamboni - Tanzania
  • Tunauza Viwanja Chekeni Mwasonga Kigamboni - Tanzania

Transaction Typesell

Area1036 m2

Description :

⚫Bei ya viwanja hivi ni 7,000 tu kwa kila square meter moja.
⚫Mradi huu wa viwanja upo umbali wa Kilometre 45 kutokea ferry.
⚫Maji na umeme tayari vipo site.
⚫Viwanja vimeshapimwa na utapata hati.
⚫Malipo utaanza kulipa million moja kisha utamalizia iliyobaki kwa awamu.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali ni wewe tu na budget yako.
⚫Site tunatembelea kila siku
⚫Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Cheka Kigamboni, Kisota Kigamboni, Mbutu beach plot Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vigwaza, Mapinga Bagamoyo..Kwa DODOMA tuna viwanja maeneo ya Ihumwa Elshaadai, Chamwino, Mtumba, Nala, Chahwa, Iyumbu West, Mahoma Makulu.
⚫Ofisi zetu kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa DODOMA zipo Capital City Mall...KARIBU SANA

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data