Transaction Typesell
Area600 m2
Description :
Miliki kiwanja kilichopimwa Kigamboni Mjimwema mtaa wa kibugumo mradi No. 2
✔️Viwanja vipo kilometa 9 kutoka ferry.
✔️kilometa 1 kutoka barabara ya lami.
✔️ square meter 1shilingi 23,000
✔️Viwanja kuanzia square meter 300, 400, 500 na Kuendelea.
✔️Anza malipo ya 50% inayobaki unamalizia kidogokidogo kwa mda wa miezi sita.