TUMIA NJIA HIZI KUONDOA UCHAFU UNATOKWA UKENI NA HARUFU MBAYA.

TUMIA NJIA HIZI KUONDOA UCHAFU UNATOKWA UKENI NA HARUFU MBAYA. - Tanzania
  • TUMIA NJIA HIZI KUONDOA UCHAFU UNATOKWA UKENI NA HARUFU MBAYA. - Tanzania
Description :


Habari ewe dada,mama, ningependa kushirikiana na ww
kufundishana Jambo hili a la fangasi na uchafu ukeni mbalo limekuwa likiwasumbua wanawake wengi na kupelekea kupata matatizo mengi zaidi baada ya kuchelewesha matibabu hii ni pengine wengine kwa kutokujua au wengine kujua na kuchukulia poa Jambo ambalo NI hatari kwa afya ya via vya uzazi.

Kwanza Kama na wewe NI mmoja kati ya wenye tatizo Kama hili npende kukupa pole saana na naamini kupitia huu ujumbe utaweza kuwa msaada mkubwa kwako na kwa wengine pia ,Hata twende Hadi mwisho wake.

Kwanza tatizo hili linasababishwa na bacteria jamii ya fungi anaitwa CANDIDA. Seli za fangasi na bacteria wazuri huishi ukeni bila tatizo lolote.Tatizo linakuja endapo ukuaji wa fangasi hawa ukeni watakuwa wengi kushinda wazuri. Basi hapo ndio inapotokea ugonjwa wa fangas na miwasho mingi.
Kutokana na ugonjwa huu wanawake wengi wamekuwa wakipata shida saana na Hadi wengine kukosa matumaini ya kupona na hii kwakuwa wengi wamekuwa wakitumia dawa za kuwatuliza fangasi na siyo KUTIBU kabisa .Pia naendelea kukupa pole Kama na ww NI mmoja was wenye tatizo Kama hili na nasema hivi kwa sababu naelewa maumivu na adha au shida wanayo ipata wanawake wenye tatizo Kama lako .Baadhi ya matatizo na changamoto wanazo zipata ni Kama zifuataazo.

1. Kukojoa mara kwa mara.

2. Mkojo kuwa na harufu kali.

3. Maumivu ya misuli na tumbo hasa chini ya kitovu.

4. Maumivu ya kiuno.

5. Kuwashwa sehemu za siri.

6. Kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana.

7. Kupata vidonda vya ukeni.

8. Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa inje wa uke.

9. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri baada ya tendo la ndoa.

10. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.

Na mbaya zaidi hupelekea Kupatwa kwa ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) maambukizi katika via za uzazi na kupelekea kuwa mgumba, ndio maana wanawake wengi ni wagumba.Hasa pale anaposhindwa KUTIBU mapema tatizo lake.
Kwahiyo kwa ujumla pale unapokwama na tatizo Kama hili Ila ukuchelewesha matibabu madhara yake NI makubwa saana hivyo usichukulie poa chukua hatua Sasa utatue tatizo lako.

Na suruhisho la tatizo hili NI very simple hasa pale unapokwama tayari ,tunavyo virutubisho vya kuweza kuwezesha mwili kustaimili bacteria wanaosababisha magonjwa hata na kuwadhibiti wasilete madhara makubwa saana .Na wengi waliotumia virutubisho vyetu wamepata matokeo mazuri saana .
Hivyo na wewe utakuwa umeidhurumu nafsi Kama utahindwa kujaribu virutubisho hivi visivyo na kemikali yoyote ahsante na karibu saana tunatoa ofa kwa mtu mmoja wa kwanza na ofa hii inaisha baada ya siku moja hivo wahi uwe was kwanza kupata ofa ya dawa nusu dozi uziitumie kutibu tatizo lako ahsante au tucheki WhatsApp kwa ushauri pia wa Bure tunatoa.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data