UFAHAMU UGONJWA HATARI UNAOWATESA WANAWAKE PID.
Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezwao kwa ngono wanaposambaa kutoka kwenye uke (vagina) hadi kwenye nyumba ya uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na ovari.
Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno.
.
DALILI ZA P.I.D
👉Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
👉Uke kutoa harufu mbaya
👉Kuwashwa sehemu za siri
👉Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
👉Uke kuwa mlaini sana
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Kuvurugika kwa hedhi
👉Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Homa, uchovu na kizunguzungu,kichefuchefu
MADHARA YA P.I.D
🍓Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopo katika mirija ya uzazi
🍓Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
🍓Kubeba mimba nje ya kizazi(ectopic pregnancy mirija ikiwa imeziba)
🍓Ugumba kwa mwanamke
🍓kupata kansa ya shingo ya uzazi
🍓Hormone Kuvurugika
Mwanamke kama unadalili yoyote hapo juu wahi kupata SULUHISHO mapema!!!
Tumia njia hii Kutibu Changamoto za Uzazi
Description :
Our safety tips
- Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
- At all costs, avoid paying before seeing the item.
- Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
- Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
- If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
- Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
- Beware of offers that are too good to be true.
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.