TOKOMEZA PID

TOKOMEZA PID - Tanzania
TOKOMEZA PID - Tanzania
  • TOKOMEZA PID - Tanzania
  • TOKOMEZA PID - Tanzania
Description :

Hatari na Athari Kubwa Zinazotokana na Maambukizi Kwenye Via Vya Uzazi (PID) na Tiba Yake

Maambukizi kwenye njia ya uzazi (PID), ni mambukizi ya bacteria yanayoathiri sana wanawake kwenye mfumo wa uzazi na huleta athari kwenye mfumo mzima wa uzazi. Moja ya athari za PID ni kutoweza kushika mimba/ugumba.

Tafiti: Kati ya wanawake 8 walaiowahi kuugua PID mmoja wao atakutana na shida kupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati.

Visababishi vya PID

Magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa ipasavyo hasa gonorrhea na chlamydia yanaongoza kwa kusababisha PID. Japo kuna baadhi ya wanawake wanaugua PID kuna kwenye maambukizi ya kawaida ya bacteria (bacteria vaginosis).

Dalili za PID

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data