TIBU MAGONJWA NA STEM CELLS

TIBU MAGONJWA NA STEM CELLS - Tanzania
  • TIBU MAGONJWA NA STEM CELLS - Tanzania
Description :

FAHAMU KUHUSU STEM CELLS..✍️.....?✍️....?✍️....?
Katika Mwili wa Binadamu Kuna cell mbali mbali ambazo kila Moja Hufanya kazi husika Kuleta matokeo chanya katika utendaji kazi Wa Mwili... Mfano tuna cell Kama blood cells , nerve cells ,cardic cells ,live cells ,skin cells,brain cells , heart cells ,bone cells nk , Cell zote hizi zimetokana na Kuwepo Cell Mama STEM CELLS ambazo katika kipindi Cha Embryonic stage Ziliweza kujigawa kutengeneza cell nyingi tofauti ambazo hujulikana Kama Daughter cells.

Sasa stem cells zinatoka wapi,?
Stem cell huweza kupatikana Wakati Wa Embryonic stage wakati Mtoto anapokua na Umri Kati ya siku tatu mpaka tano EMBRYONIC STEM CELLS pia tunapata stem cell katika mifupa wakati Binadamu tayari Ni mtu mzima tunaita ADULT STEM CELLS, Pia Tupata Stem Cells Katika baadhi ya Mimea na Matunda CELLIFEZ.

Sasa kutokana na Uchavu wa Cell katika Mwili wa Binadamu either kutokana na ulaji mbovu ,Hali ya hewa ,matumizi ya Madawa , kuugua Maradhi nk , Matumizi ya stem cell yamekua mkombozi dhidi ya Uchakavu huu wa cell na Imekua njia ya kisasa kutibu Maradhi Mbalii mbili kutokana na Uwezo wake Wa kufanya ukarabati Wa Cell ,kuondoa Majeraha na kurudisha Uwezo wake katika Utendaji wa kazi Inavyotakiwa.

Kumbuka ukiachana na hizi Cell Mama Hakuna Cell nyingine katika Mwili wa Binadamu zenye uwezo Wa kuzalisha Cell mpya ,Na hapa ndipo Utaona utofauti Kati ya Binadamu na samaki Aina ya shark ,ama alligator Unaeza kufatilia kwamba Viumbe Hawa Wamejaliwa kuwa na Stem Cells nyingi Kiasi kwamba hata Ukikata Mguu Wa alligator leo baada ya mda Utakuta Mguu huo Umeota , tofauti na Sisi Binadamu ama samaki Aina ya Shark anauwezo wa Kureplace Meno Yake na Jino lingine likauta pale jino linapong'oka hii Ni tofauti kabisa na Binadamu..

Manake Ni Kwamba Stem Cells Zina Uwezo mkubwa wa kufanya Marekebisho na kuondoa Uchakavu katika Cells zetu na kuzikomboa kutoka katika OXIDATIVE STRESS.

Tiba ya stem cells , Inapatikana ikiwa unasumbuliwa na changamoto mbali mbali za kiafya Kama kisukari , Shinikizo la Damu, tezi dume , Saratani za Aina mbili mbali , magonjwa ya Moyo na mapafu ,UVimbe katika kizazi , UVimbe katika Ini na Figo, tatizo la nguvu za kiume, Matatizo yote ya Uzazi ikiwemo ugumba, matatizo ya Watoto hasa Yale yanayohusisha Ubongo, Karibu kwa Ushauri na Matibabu stem cells Ni mkombozi.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data