TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS)

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS) - Tanzania
  • TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS) - Tanzania
Description :

Vidonda vya Tumbo na matibabu yake ya uhakika.
✍️....?✍️.....?✍️.....?✍️....Tuseme Vidonda vya Tumbo Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.


Dalili za Vidonda vya Tumbo ni pamoja na
....Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa
upande wa ndani Wengi husema chembe ya Moyo.

...Kuchoka bila sababu.

...Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

... Kupungua kwa nguvu za kiume.

.....Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

.....Kuwa na kiungulia .

....Tumbo kujaa gesi.

....Tumbo kuwaka moto hasa unapochelewa kula.

..Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

...Kukosa hamu ya kula.

....Kula kiasi kidogo na kushiba

.... Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

.... Maumivu makali baada ya kula vitu vikali kama pili pili ,ndimu,ndizi, vyakula vyenye viungo vingi, pombe na Sigara au chakula cha moto ambapo Unashauriwa kuviepuka.
.....kifua kubana,na wakati Mwingine kupumua Kwa shida.
.... Koo kuwasha na kikohozi kikavu kinachodumu mda Mrefu.

TIBA NA USHAURI
Kuondoa Tatizo la Maradhi ya Vidonda vya tumbo (Ulcers), Utahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalamu, Unatakiwa kuonana na mtaalamu wa afya atakufanyia vipimo kama endoscopy/gastroscopy, H.Pylori stool antigen test nk, kinachoweza kubaini Hali ya vidonda vya Tumbo na Uwepo wa H.pylori ambaye Huchangia Kupata Madonda ya Tumbo.pia tunazo dawa za asili utakazo tumia kumaliza tatizo baada ya kupata Ushauri wa daktari,hii pia ni mahususi Kwa Wewe ambae umekua mhanga wa vidonda vya Tumbo Kwa mda Mrefu na kutumia dawa nyingi bila Kupata nafuu, karibu Sana

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data