Tiba ya Vidonda Vya Tumbo

Tiba ya Vidonda Vya Tumbo - Tanzania
Tiba ya Vidonda Vya Tumbo - Tanzania
  • Tiba ya Vidonda Vya Tumbo - Tanzania
  • Tiba ya Vidonda Vya Tumbo - Tanzania
Description :

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ila Vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

-Bacteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
-Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
-Kuwa na mawazo mengi
-Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
-Kunywa pombe na vinywaji vikali
-Uvutaji wa sigara
-Kuto kula mlo kwa Mpangilio.

DALILI ZAKE.
-Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa kama ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
-Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
-Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
-Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
-Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
-Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
-Kushindwa kupumua vizuri

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data