TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
  • TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO - Tanzania
Description :

VIDONDA vya tumbo ni mojawapo ya ishara za mwili kuanza kuishiwa maji, ni uharibifu wa kuta za ndani ya tumbo. Kwa maneno mengine, ni majeraha ndani ya tumbo.

Kwanini vidonda vya tumbo ni ishara ya mwili kuishiwa maji?

Asilimia 94 ya damu ni maji, ubongo wetu una zaidi ya asilimia 85 za maji, na tishu zetu laini zina asilimia 75 ya maji.Tunatumia maji kupumua nje, kila masaa 24 tunapoteza glasi 4 za maji kwa kupumua tu nje.


Dalili za vidonda vya tumbo

Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na

Kuchoka choka sana bila sababu maalum,
Kuuma mgongo au kiuno,
Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kiume, Kizunguzungu,
Kukosa usingiziUsingizi wa mara kwa mara,
Maumivu makali sehemu ya mwiliKifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali,
Kichefuchefu,
Kiungulia,
Tumbo kujaa gesi,
Tumbo kuwaka moto,
Maumivu makali sehemu kilipo kidonda,
Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi,
Kukosa hamu ya kula,
Kula kupita kiasi,
Kusahahu sahau na hasira


VISABABISHI/ VIHATARISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO
visababishi vya ugonjwa huu vipo vingi sana hivyo yatupasa kuviepuka ili kujiepusha na huu ugonjwa.zifuatazo ni visababishi vya ugonjwa huu
i. Utumiaji wa madawa ya kuondoa maumivu kwa muda mrefu
ii.mawazo na huzuni kwa muda mrefu
iii.kutokuwa na muda maalum wa kula
iv.Utumiaji wa pombe uliopitiliza
v. Utumiaji wa madawa ya kulevya nk

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data