Tiba ya Upungufu wa damu kwa Mjamzito(Anemia)

Tiba ya Upungufu wa damu kwa Mjamzito(Anemia) - Tanzania
Tiba ya Upungufu wa damu kwa Mjamzito(Anemia) - Tanzania
  • Tiba ya Upungufu wa damu kwa Mjamzito(Anemia) - Tanzania
  • Tiba ya Upungufu wa damu kwa Mjamzito(Anemia) - Tanzania
Description :

UPUNGUFU Wa Damu (Anemia )Ni hatari kwa Afya ya Mama mjamzito na mtoto aliye tumboni .Madhara yake Ni Kama ifuatavyo;

1)Kujifungua Mtoto mwenye Uzito Mdogo kuliko kawaida

2) huathiri ukuaji wa Ubongo na uti wa Mgongo wa mtoto

3)Huongeza hatari ya mama kupoteza maisha wakati wa kujifungua endapo atapoteza damu nyingi

4) Huongeza hatari ya mimba kutoka kabla ya wakati au kujifungua kabla ya wakati.

5) Huongeza hatari ya Kupata maambukizi mara kwa mara na hata kifo.

CHANZO!

1) UPUNGUFU wa madini ya chuma na folic acid unaotokana na sababu mbalimbali Kama

1) ukosefu wa lishe Bora

2)Malaria

3)Minyoo

4) kupoteza damu nyingi wakati wa hedhi kabla ya ujauzito

SOLUTION;

Hudhuria Kliniki mara unapogundua Wewe Ni Mjamzito

-Tumia *COMPLETE na CHOLEDUZ au MYCHOCO* wakati wa UJAUZITO, Zitakusaidia kuimarisha Afya Yako Mama na Mtoto.. Pia zitakuondolea na ile morning sickness (kuumwa umwa )

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data