Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume

Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume - Tanzania
Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume - Tanzania
Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume - Tanzania
  • Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume - Tanzania
  • Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume - Tanzania
  • Tiba Ya Ugumba Kwa Wanaume - Tanzania
Description :

SULUHISHO LAKE
Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa linatokana na ugumba upande wa mwanaume.
Visababishi vya ugumba kwa mwanaume:
Kuna sababu kuu 2 za ugumba kwa mwanaume, nazo ni mbegu chache na homoni kutokuwa sawa.

1. MBEGU CHACHE (low sperm count):


Ni moja ya kisababishi kikubwa cha ugumba kwa wanaume wengi. Ni mhimu wenza wote kufanya vipimo inapobainika wamekaa muda mrefu bila kupata mtoto. Wakati wanawake wanahitaji vipimo vingi kujua chanzo cha ugumba wao, wanaume wao wanahitaji kipimo kimoja tu nacho ni cha kujua uwingi wa mbegu na afya ya mbegu kwa ujumla (sperm analysis).
Vipo vipimo vidogo vya kawaida kwa ajili ya kupimia uwingi wa mbegu unavyoweza kuvitumia hata mwenyewe binafsi ukiwa nyumbani au unaweza kumuona daktari kwa vipimo vya jumla zaidi.
Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito.
Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi makala hii itakupa maelezo juu ya dawa za asili zinazoweza kukusaidia hilo.
Visababishi vya mbegu kuwa chache
Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume, kwa bahati nzuri vingi ya vitu hivyo tunao uwezo wa kuvidhibiti kwa kupunguza matumizi yake.

1). VIFAA VYA KIELETRONIKI

Vitu hivyo ni pamoja na Vifaa vya kieletroniki.
Tafiti zimeonyesha vifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa wingi na ubora wa mbegu kwa wanaume wengi miaka ya sasa kwani mionzi yake hupelekea joto lisilohitajika katika mifuko ya mbegu za kiume. Vifaa hivi ni pamoja na simu na Kompyuta.
Unashauriwa kutokuweka simu ndani ya mfuko wako wa suruali kwa kipindi kirefu na kutokuweka kompyuta mpakato (laptop) kwenye mapaja yako wakati wote ukiitumia. Ni mhimu pia kutokutumia masaa mengi kutwa nzima ukiwa kwenye kompyuta.

2). VIFAA VYA INTANET VISIVYO TUMIA WAYA

Siku hizi tofauti na zamani, kuna teknolojia mpya imeingia ya kuunganisha intaneti kwa kutumia vifaa visivyotumia waya (wireless internet) au kwa lugha nyepesi hujulikana kama Wi-Fi.
Vifaa hivi vinapunguza wingi wa mbegu, uwezo wa mbegu kukimbia na kuharibu muundo asili wa mbegu kwa ujumla (DNA fragmentation). Wanaume wenye tatizo la uzazi wanashauriwa kutotumia aina hii ya vifaa vya kuunganishia intaneti kwenye kompyuta zao na vile vile kutokuweka simu kwenye mifuko yao ya mbele ya suruali.

3). UVUTAJI WA SIGARA

Uvutaji sigara, bangi na bidhaa nyingine za tumbaku huharibu ubora wa mbegu za kiume. Hilo halihitaji majadiliano. Habari njema ni kuwa madhara yaliyosababishwa na uvutaji sigara yanaweza kurekebishika ikiwa tu utaamua kuacha kuvuta. Huhitaji dawa kuacha kuvuta sigara, unahitaji kuamua tu kwamba sasa basi na hakuna lisilowezekana kwa mtu mwenye maamuzi na mwenye ndoto za maisha mazuri ya kiafya.

4). DAWA ZA KUUA WADUDU MASHAMBANI

Viuavijasumu (pesticides) vinavyotumika katika mazao mbalimbali mashambani miaka ya sasa ni sababu mojawapo ya tatizo la homoni kutokuwa sawa kwa wanaume wengi.
Kwenye bidhaa nyingi za maziwa za viwandani sasa huongezwa homoni kama vile homoni ya estrogeni ambazo hazihitajiki katika mwili wako. Vyote hivi vina madhara katika afya ya mwanaume.

5). VYAKULA VYENYE SOYA

Vyakula vyenye soya ndani yake hasa vile vya viwandani kama vile maziwa ya soya, burger za soya nk si vizuri kwa afya ya uzazi ya mwanaume. Vinasemwa moja kwa moja kuathiri ubora wa homoni ya testosterone homoni mhimu sana kwa afya ya uzazi wa mwanaume

6). UNYWAJI POMBE

Katika moja ya utafiti kwa wanaume wenye mbegu zenye ubora wa chini, matumizi ya kupitiliza ya unywaji pombe yalionyesha kuhusika na kupungua kwa mbegu za kawaida yaani mbegu nzuri zinazofaa kwa ajili ya uzazi.

7). MATUMIZI YA PLASTIKI

Wakati kifaa cha

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data