TIBA YA UGUMBA/INFERTILITY WANAWAKE

TIBA YA UGUMBA/INFERTILITY WANAWAKE - Tanzania
  • TIBA YA UGUMBA/INFERTILITY WANAWAKE - Tanzania
Description :

MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO

1.KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA
usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kua haupevushi mayai kila mwezi.hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi.

2.KUACHA KUONA SKU ZAKO GHAFLA
Kama hujafikia menopause ,au sio mjamzito na hutumiii dawa zinasosababisha kubadilika kwa hedhi..ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana ake ni kwamba haupevushi mayai .

3.KUTOKWA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI

4.MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

5.KUOTA VINYWELEO VISIVYO VYA KAWAIDA USONI

6.KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA.

USHAURI NA TIBA
Unashauriwa kuonana na mtalaam wa Afya Unapona Mambo hayo sita ,kwa ajiri ya vipimo ,pia Tunazo dawa za asili Naturalceutical ambazo zinasaidia kuboresha mayai, kupata Ute wa mimba ,Na kuandaa kizazi kwa ajiri ya implantions , Inaezekana Umepima na umeambiwa Hauna tatizo lakini kiuharisia haushiki ujauzito na umetafta kwa mda mrefu bila mafanikio.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data