Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA

Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA - Tanzania
Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA - Tanzania
Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA - Tanzania
  • Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA - Tanzania
  • Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA - Tanzania
  • Tiba ya ugonjwa wa STROKE/KUPOOZA - Tanzania
Description :

STROKE
Hii NI hali ya mwili kupoteza uwezo wake WA kufanyakazi upande mmoja WA mwili wako either kulia au kushoto na kwa kiwango kidogo watu wanapooza kiunoni kushuka chini.
Na udhaifu huu unatokea pale ubongo wako kichwani unapokosa damu yakutosha na hewa safi ya oxygen pamoja na virutubisho muhimu ambapo hupelekea cells ZA ubongo wako kufa kwaharaka kwakukosa oxygen. Sasa kwanini halihii!!

SABABUZA STROKE
1. Kuzibakwamishipa yako ya damu kichwani kwasababu mbalimbali ikiwemo nakuganda kwadamu

2.Kupasuka kwamishipa ya damu kichwani naKupelekeadamuishindwekufika katika ubongo.
MAMBO YANAYO PELEKEA KUTOKEA KWA STROKE
1.Uzito uliopitilizaaukuzidi
2.Tatizo LA pressure Ile ya kupanda 3.Chorestrol mbaya kwenyemishipa ya damu (mafuta yasiyoyeyuka)
4.Unywaji WA pombe uliopigiliza
5.Utumiaji madawa kwa kipindi kirefu 6.Kukaa bila kufanyana zoezi au kutojishughulisha Sasa hivi NIvitubaadhiambavyo hupelekea eidher kuziba au kupasuka kwa mishipa yako ya damu kichwani nakupata stroke.,na hiiya kuziba mishipa ya damu ndioiko kwa kiasi kikubwa ndiomaana watu hawana pressure lakini wanapata strokesasazipi dalili au madhara yake
MADHARA/DALILI ZASTROKEAU VIASHIRIA
1.Upande mmoja WA uso Kuskia ganzi 2.Kushindwa kuongea au kupata tabu yakuongea
3.Kushindwa kuelewa au kupata tabu ya kuelewa kwaurahisi
4.Mdomo kwenda pemBeni
5.Mkono au mguu WA upandemmojakuwa mzitoaukushindwa kuunyanyua
6.Maumivu makali ya kichwapamoja na kizungu zungu piahatakutapika 7.Kushindwakuona vizuri Bilashakamtuyeyote mwenye strokelazima Katiya hizi dalili moja Wa Poa konazo uzuri nikwamba kila mtuanauwezo WA kuizuwiahii kutokeaendapoataishi misingi imara ya afya yake nahii hasa kwa Hawa watu wazima sana.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data