Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni

Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni - Tanzania
Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni - Tanzania
Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni - Tanzania
  • Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni - Tanzania
  • Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni - Tanzania
  • Tiba ya ugonjwa wa fungus ukeni - Tanzania
Description :

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
· kuwashwa sehem za siri
· kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
· kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
· kupata vidonda ukeni (soreness
· kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
· kupata maumivu wakati wa kukojoa
· kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data