Tiba ya saratani ya kizazi

Tiba ya saratani ya kizazi - Tanzania
Tiba ya saratani ya kizazi - Tanzania
Tiba ya saratani ya kizazi - Tanzania
 • Tiba ya saratani ya kizazi - Tanzania
 • Tiba ya saratani ya kizazi - Tanzania
 • Tiba ya saratani ya kizazi - Tanzania
Description :

Ni Nini Chanzo Cha Saratani Ya Shingo Ya Kizazi?Karibu saratani zote za shingo ya kizazi husababishwa na maambukizi ya muda mrefu ya moja ya virusi wa aina ya HPVs. Maabukizi ya HPV ni ya kawaida na watu wengi walioambukizwa HPV hawapati saratani ya shingo ya kizazi. Kuna aina tofauti za HPV zaidi ya 100, na baadhi ya aina chache ndiyo wanaohusishwa na saratani ya shingo ya kizazi. HPVs wengine husababisha chunjua (benign warts) juu ya ngozi au sehemu za siri. HPVs wale wanaoitwa “high-risk” ndio waletao saratani ya shingo ya kizazi au saratani ya uume kwa wanaume. HPVs wanaweza kuleta saratani za midomo, koromeo, na mkundu kwa jinsia zote.saratani ya kizaziVirusi hawa HPV huambukizwa kupitia ngono au kwa kugusana ngozi. Utafiti unaonyesha kuwa watu wengi huambukizwa virusi hawa katika kipindi fulani cha maisha yao. Mambukizi hawa kwa kawaida hupona yenyewe. Kwa baadhi ya wanawake, maambukizi haya huendelea kudumu na kuanza kuleta mabadiliko kwenye seli za cervix. Mabadiliko haya huweza kugndulika kwa kuchukua vipimo vy amara kwa mara – Pap testing.Dalili Za Kansa Ya Shingo Ya Kizazi Ni Zipi?Saratani ya shingo ya kizazi inaweza isitoe dalili zo zote zile.Na hasa, katika hatua za mwanzo kabisa, saratani ya shingo ya kizazi haitoi dalili. Dalili huanza kujitokeza wakati seli za saratani ya shingo ya kizazi zinapoanza kushambulia maeneo ya karibu.

Dalili za saratani ya shingo ya kizazi ni pamoja na:

. Kutokwa damu ukeni kusiko kwa kawaida
. Kutokwa damu ukeni baada ya kukoma hedhi
. Kutokwa damu ukeni baada ya tendo la ndoa
. Kutokwa damu ukeni katikati ya mzunguko wa hedhi
. Hedhi ndefu kuliko kawaida
. Kutokwa uchafu ukeni kusiko kwa kawaida
. Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Yafaa kuzingatia kuwa dalili hizi si za kipekee kwa saratani ya shingo ya kizazi na kwamba matatizo mengine ya kiafya yanaweza kutoa dalili kama hizi.Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data