TIBA YA PUMU/ASTHMA

TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
 • TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
 • TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
 • TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
 • TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
 • TIBA YA PUMU/ASTHMA - Tanzania
Description :

UGONJWA WA PUMU (ASTHMA).
Asthma au pumu ni ugonjwa wa kudumu unaoshambulia Mfumo wa upumuaji, ambapo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija ya njia ya hewa hivyo kuzuia hewa kuingia na kutoka kwenye mapafu.

DALILI,
mgonjwa wa asthma huonesha dalili mapema kabisa ( tangu akiwa mtoto). Dalili hizi huonekana pale mgonjwa anapopata shambulio la pumu ( asthmatic attack). Dalili zifuatazo huonekana;
1. Kushindwa kupumua.
2. Mgonjwa hutoa sauti ya filimbi wakati wa kupumua.
3. Kukohoa.
4. Kifua kubana.
5. Maumivu ya kifua.

Pumu ni ugonjwa wa kuzaliwa nao, lakini zipo sababu zinazosababisha mgonjwa wa pumu kupata shambulio la pumu (asthmatic attack).

Kumbuka mgonjwa wa pumu anaweza kuishi kawaida tu bila kuonesha dalili. Huonesha dalili pale tu anapopata shambulio la pumu (asthmatic attack).

Sababu za shambulio la pumu (asthmatic attack);
1. Mzio ( allergy).
2. Maambukizi ya virusi kwenye Mfumo wa hewa.
3. Mazoezi.
4. Ugonjwa wa kubeua.
5. Ugonjwa wa mafua.
6. Msongo wa mawazo.
7. Uzito mkubwa.

MATIBABU.
Ugonjwa wa pumu hauna Tiba ya moja kwa moja, ila mgonjwa hutibiwa dalili pale anapopata shambulio la pumu.

Hivyo ni muhimu mgonjwa wa pumu kujikinga na sababu zinazoweza kupelekea mgonjwa kupata shambulio la pumu, pia tunazo dawa za asili Naturalceutical Maalumu kwa ajiri ya tatizo la pumu ya Kudumu.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data