TIBA YA PID

TIBA YA PID - Tanzania
TIBA YA PID - Tanzania
  • TIBA YA PID - Tanzania
  • TIBA YA PID - Tanzania
Description :

SABABU ZA KUPATA PID.
Mazingira Na SaSababu hatarishi.

Kundi la wanawake wenye umri kati ya miaka 25 mpaka 35
- Kufanya ngono bila kinga
-wanawake waliowahi kuugua PID huko nyuma ama kupata maambukizi mengine ya bacteria kwenye njia ya uzazi.
-Kusafishwa kizazi mara kwa mara na matumizi ya kemikali kujisafisha ukeni, kitendo ambacho kinaharibu bacteria wazuri na kusababisha ukuaji wa bacteria wabaya na fangus
-Matumizi ya kitanzi kwa ajili ya kupanga uzazi
-Kuugua UTI mara kwa mara, na wanawake waliwahi kutoa mimba wapo kwenye hatari zaidi ya kupata PID
-Uvutaji wa sigara na madawa ya kulevya.

DALILI ZA PID.

Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida. Wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine. Zifuatazo ni dalili zinazojotokeza zaidi kwa wanawake wengi.

-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto
-Sehemu za uke kuwa na ulaini sana
-Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Kupata maumivu wakati wa choo
-Kupata dalili za homa kama kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data