Tiba ya PID

Tiba ya PID - Tanzania
Tiba ya PID - Tanzania
  • Tiba ya PID - Tanzania
  • Tiba ya PID - Tanzania
Description :

UFAHAMU UGONJWA WA PID KWA WANAWAKE DALILI MADHARA NA SULUHU.

BAADA yakupokea maswali mengi kutokana kwa kina mama kuhusiana na maradhi haya ya PID leo nimeamua kutolea ufafanuzi. Nimepokea simu nyingi na jumbe kupitia whatsap baada ya kuandika ile makala inayohusiana na madhara ya njia za uzazi wa kisasa.

PID ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke kama vile, mfuko wa uzazi, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, shingo ya kizazi.

VISABABISHI VYAKE

Ugonjwa huu kwa kawaida husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiiana, na mara nyingi hata magonjwa yanayohusiana na kujamiana huusishwa kama kama vile Pangusa ,UTI, Fangasi, Kisonono, nk. Pia utoaji mimba usiosalama, kuharibika mimba, au kujifungua kwa njia zisizo salama na kuweka vitu ndan ya uke kama vizuizi vya mimba pia huchangia maradhi haya.

DALILI ZAKE

Dalili za ugonjwa huu huwa kama ifuatavyo:• Maumivu katika tumbo la chini na sehemu za nyonga.• Kutokwa na uchafu mwingi wenye harufu mbaya sehemu za uke.• Kupata hedhi Mara mbili ndani ya mwezi.• Kuhisi maumivu ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.• Kuhisi homa na baridi• Kuhisi kichefuchefu• Maumivu makali wakati wa kukojoa.Ugonjwa huu unaposhindwa kutibiwa mapema unaweza kusababisha madhara makubwa kama ifuatavyo:Kuota tishu katika mirija ya mayai, Mirija ya mayai kuziba, Vifuko vya mayai kukusanyika maji kwa ndani na Ugumba

Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na


Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data