Tiba Ya PID Na Harufu Mbaya Ukeni

Tiba Ya PID Na Harufu Mbaya Ukeni - Tanzania
Tiba Ya PID Na Harufu Mbaya Ukeni - Tanzania
 • Tiba Ya PID Na Harufu Mbaya Ukeni - Tanzania
 • Tiba Ya PID Na Harufu Mbaya Ukeni - Tanzania
Description :

baadhi ya wanawake wanaugua PID kutoka kwenye maambukizi ya kawaida ya bacteria(bacteria vaginosis)

Madhara ya PID

Unaweza kusababisha *Ugumba* na mimba kujishikiza mahali pasipo sahihi (ectopic pregnancy)

√ Kupata *majeraha kwenye mirija ya uzazi*, majeraha yanaweza kutokea nje ama ndani, tatizo hili linaweza kuwa gumu kutibika na hutokea tu pale ambapo maambukizi hayakutibiwa kwa muda mrefu zaidi.

√ *Kuziba na kujaa maji kwa mrija ya uzazi* (hydrosalpinx) kutokana na majeraha ya tishu zake

√ Maumivu ya tumbo ya muda mrefu husababisha *maumivu wakati wa tendo la ndoa na mwanamke kutofurahia unyumba.*

√ Kuongezeka kwa hatari ya kupata matatizo mengine wakati wa ujauzito na kujifungua


Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data