Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi)

Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi) - Tanzania
Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi) - Tanzania
Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi) - Tanzania
  • Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi) - Tanzania
  • Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi) - Tanzania
  • Tiba ya PID(Maambukizi kwenye via vya uzazi) - Tanzania
Description :

UGOJWA WA PID NI HATARI.

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzaziUNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI

Ugonjwa wa P.I.D unatibika vizuri kabisa kama upo tayari unaumwa nitafute inbox

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data