TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID"

TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID" - Tanzania
TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID" - Tanzania
TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID" - Tanzania
  • TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID" - Tanzania
  • TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID" - Tanzania
  • TIBA YA PELVIC INFLAMMATORY DISEASE "PID" - Tanzania
Description :

pelvic inflammatory disease ama "PID" tunasema kwamba haya Ni maambikizi katika via vya uzazi mwanamke na hutokea pale ambapo bactaria hushambulia uke na kusambaa kwenye Uterus,mirija ya uzazi na mayai kupitia ngono isiyo salama , Na offcourse wapo Bacteria wengi wanaoweza kuchangia mtu akapata tatizo hili Ila Gonorrhea au Chlamydia huchangia zaidi ,na ukiachana na kwamba tatizo Hili kuchangiwa na ngono isiyo salama kwa uchache Sana mimba kuharibika,au utoaji mimba kihorela ama process ya kuekewa intrauterine Device IUD unaeza kupata tatizo Hili la PID so kutokana na hivyo utagundua kuwa kwa kiasi kikubwa kuwa na wapenzi wengi ,kushiriki vitendo vya ngono Katka umri mdogo,Kama una historia ya kuwa na tatizo hili ama sexually transimited diseases,

Sababu nyingine kubwa ambayo wanawake wengi hufanya pasipo kujua kuwa inaeza kuwaletea shida Ni hii ya kuweka vitu visivyo Rasmi ukeni kwa lengo la kuongeza utamu wa uke ama kubana uke hii Ni hatari kwa afya ya uke kwani vitu hivi vingi vina chemicals ambazo hubadili PH ya mazingira ya uke na hivyo kuwafanya bacteria wazuri kugeuka na kuwa hatarishi kiafya ,So ukifanya hivi kwa mda mrefu inaeza kupelekea tatizo hili maana unauweka uke katika Risk ya kupata pia infections kutokana na Ulinzi wa uke umeondolewa,
sio wote wenye tatizo hili huonesha dalili za mapema na Kuna wengine hawaoneshi dalili zozote wanapokua na tatizo hili lakini zipo Dalili ambazo Ni common in case ukiwa nazo Ni Vizuri ukafanye Vipimo mfano ,kupata maumivu chini ya kitovu yanayoweza kuwa makali kiasi na kuongezeka,... kutokwa na uchafu ukeni unayoambatana na harufu Kali,...kutokwa na damu wakati na baada ya tendo la ndoa,.... Kupata hedhi isiyoeleweka na inayoweza kujirudia Mara mbili kwa mwezi,....maumivu makali wakati wa tendo la ndoa ,......kupata maumivu wakati wa kukojoa yanayokua Kama yanaunguza.... kupata homa , kichefu chefu na wakati mwingine kutapika.....hizi Ni dalili chache tu..

Ukiwa na tatizo Hili la PID upo kwenye Risk zifuatazo..kwanza mimba inaeza kutunga nje ya mji wa mimba "ectopic pregnancy",.... Uchafu ama maji maji kujaa kwenye mirija ya uzazi "tubo Ovarian abscess"...unaeza kupata tatizo la Ugumba ,pamoja na maumivu ya chini ya kitovu yasiyoisha......

Kwa upande wa sulutions inategemeaa na Ukubwa wa tatizo Ila antibiotics sindano ama vidonge huwa zinatumika kutibu changamoto hizi ingawa Kuna wachache antibiotics huwa hazimsaidii ama hakuzingatia matumizi sahihi ya dawa Basi huyu anapata ushauri na msaada zaidi ambapo

Tiba ya C24/7 hutumika Kama mbadala kwa maana Ina viini lishe ambavyo vinauwezo mkubwa wa Kuimarisha Kinga ya Mwili "Vitamin C" na hivyo kuzifanya cell za mwili kuwa imara kupambana na Maradhi haya naturally, pia Zina Vitamin E na D nyingi ambazo ni nzuri Katika kuboresha mayai na kuta za Via vya uzazi kuanzia uke, mlango wa kizazi, mji wa mimba ,kusafisha mirija na hivyo kuongeza uwezekano mkubwa wa kuondoa madhara ya tatizo Hili pia Ina Natural antioxidants.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data