Tiba Ya P. i.d

Tiba Ya P. i.d - Tanzania
  • Tiba Ya P. i.d - Tanzania
Description :

Dawa ya kutibu pid sugu (Pervic Inflammatory Diseases):

pid (Pervic Inflammatory disease) ni ugonjwa sumbufu na mbaya sana katika viungo vya uzazi WA mwanamke ambao Mara nyongi husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiana (sti) na nyinginezo.Neno hili sti (sexual Transmitted intercouse) hutumika kuelezea maambukizi katika njia ya uzazi ya chini ambayo huenea juu hadi mfumo WA uzazi WA juu wakike. Mfumo WA uzazi WA chini wakike unajumuisha Uke, mlango WA uzazi(cervix), na mfumo WA juu wakike uzazi WA kike unajumuisha mji WA uzazi (uterus),mirija ya uzazi, Uterine na mayai (Ovari). Takwimu zinaonyesha pid huathiri wanawake zaidi ya milioni 1 kila mwaka katika nchi ya Marekani us.

Ugonjwa WA Maambukizi pid ni nni?
pid ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya kike. Magonjwa ya maambukizi ya pid yanaweza kusababisha uharibifu WA WA kizazi, mirija ya uzazi,mayai na sehemu nyingine za njia za uzazi WA kike ambayo ni sababu kuu ya kupata ugumba kwa wanawake.Inatokeawakati bacteria WA magonjwa ya kujamiana huingia ndani ya uke, kisha huenea ndani ya kizazi,mirija ya uzazi(fallopian tube) au ovari.

dalili za pid
Dalili za pid zinaweza kuwa:
√ maumivu sehemu ya kulia upande WA juu WA tumbo.
√ maumivu wakati WA kukojoa.
√ maumivu wakati WA tendo LA ndoa.
√ maumivu ya kiuno.
√ homa na uchovu.
√ kuharisha na kutapika.
√ Kutokwa na uchafu ukeni usio WA kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine unaharufu isiyo ya kawaida.
√ maumivu ya chini au upande WA kulia.
visababishi vya pid
Kwa kawaida mlango WA uzazi (cervix) inazuia bacteria ambao wameingia ukeni wasisambae sehemu zingine za ndani za uzazi kama mlango WA uzazi cervix umepatwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiaana kama kisonono na chlamydia.Mlango huo WA uzazi cervix unaathirika na unakuwa na uwezo mdogo WA kuzuia kusambaa kwa bacteria sehemu za ndani za uzazi. Pid inatokea pale vimelea vya magonjwa vinaposafiri kutoka kwenye mlango WA uzazi cervix kwenda sehemu za juu za uzazi. Asilimia 90 ya pid husababishwa kutokutibiwa ugonjwa WA kisonono na chlamydia.Kutoa mimba au kuharibika
Matatizo Yanayohusiana na pid.
Ikiwa magonjwa ya maambukizi ya pid yameachwa bila kutibiwa kikamilifu, basi inawezakusababisha matatizo makubwa kama uharibifu WA viungo vya uzazi na kujikusanya maji ya kuambukiza katika mirija ya uzazi.
Matatatizo mengine hupelekea mimba kutunga inje ya mirija.

Kwakuwa pid bado ni sumbufu sana katika matibabu ya kawaida,utamaduni WA matibabu ya kihindi Ayurvedic medicine na ule WA matibabu ya kichina tcm ndio suluhisho LA watu wengi katika kumaliza kabisa tatizo LA pid.

Afya ni mtaji tunakupa dawa bora kwa kutibu pid ndani ya siku saba utaanza kuona mabadiriko makubwa. Nipigie kwa namba zifuatazo nikuhudumie 0657491703 au bofya link hapo chini chini

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data