TIBA YA MAUMIVU YA JOINT ZA MIGUU, KIUNO,NYONGA NA MGONGO

TIBA YA MAUMIVU YA JOINT ZA MIGUU, KIUNO,NYONGA NA MGONGO  - Tanzania
  • TIBA YA MAUMIVU YA JOINT ZA MIGUU, KIUNO,NYONGA NA MGONGO  - Tanzania
Description :

JOINT PAIN ✍️...?✍️....?✍️...?.

Hii ni changamoto inayosumbua Sana Watu wenye Umri na Uzito mkubwa na sababu kubwa ikiwa ni uchakavu Katika joints ,Ute Ute "lubricant" katika joint kupungua na hivyo kuongezeka kwa Msuguaano Kati ya joint Moja hadi nyingine na kusababisha Maumivu makali Sana.
Pia ukiwa na maambukizi "septic arthritis" matatizo ya uric acid "gout" vyote hivi huchangia kupata Joint inflammation na kusababisha maumivu makali katika Viungo.

Unashauriwa kuonana na Daktari pindi unapopata dalili za mapema Ili kubaini chanzo na kupata matibabu sahihi... Pia tunazo tiba asilia/Naturalceutical zenye uwezo wa Kuondoa Uchakavu katika joints ,Kuondoa maumivu na Kurejesha Ute Ute pia Ushauri kuhusiana Namna ya kula, kupunguza uzito na kudhibiti gout.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data