TIBA YA MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE

TIBA YA MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE - Tanzania
  • TIBA YA MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE - Tanzania
Description :

MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE.

Kutokana na sababu mbalimbali, wanawake wengi hupatwa na tatizo la maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa nyakati tofauti.

Maumivu haya mara nyingi hutokea katika kibofu cha mkojo au katika via vya uzazi vya mwanamke.

Mara nyingi ni ngumu kujua sababu hasa ya maumivu , lakini kwa kuzingatia dalili na maelezo ya mgonjwa ,daktari anaweza kujua chanzo cha tatizo.

DALILI NA SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE.

•Dalili kuu ni maumivu ,ambayo yanaweza kuwa chini ya kitovu katikati, kulia na kushoto. Kuna yale ya upande mmoja yanayosambaa.

•Kuna maumivu mengine chini ya kitovu huwapata wanawake wanaposhiriki tendo la ndoa kwa ndani ya uke au chini ya kitovu.

•Pia yapo ambayo huwapata wanawake wakati wameinama, wakati wa kunyanyua vitu vizito, wakati wa kucheka au kuimba, na wngine wakiwa wamelala kifudifudi.

SABABU

1. Mirija ya uzazi kujaa maji mazito na machafu ambayo huzuia yai kutembea kwenye mirija ya uzazi.
Mwanamke ambaye amewahi kuambiwa na daktari kwamba anatakiwa asafishwe kizazi chake/mirija ya uzazi na wakati huo huo anasikia maumivu chini ya kitovu kushoto na kulia au upande mmoja kuna uwezekano akawa na tatizo la mirija ya uzazi kuziba kutokana na kujaa maji machafu.

2. Kutokukomaa kwa mayai ya uzazi.
Hii husababisha vifuko vya mayai ya uzazi kuvimba(ovaritis) na kumletea mwanamke maumivu chini ya kitovu mithili ya kichomi. Mwanamke ambaye anamaumivu chini ya kitovu na wakati huo huo ana matatizo ya hedhi mfano hedhi kukoma au kutokuwa na mpangilio maalum kunauwezekano mkubwa akawa na tatizo la vifuko vyake vya mayai ya uzazi kutokomaza mayai na hivyo mayai kutotoka kwenye vifuko hivyo na kusababisha kuvimba na hatimaye kumsababishia mwanamke maumivu makali mithili ya kichomi.

3. Kuvimba kwa kuta za mji wa mimba na kuta za mirija ya uzazi (PID/Pelvic Inflamatory Disease).
Mwanamke anayesikia maumivu chini ya kitovu katikati na pembeni kwa wakati mmoja na wakati huo huo akawa anatokwa na uchafu mzito mithili ya maziwa mtindi kunauwezekano akawa na PID hasa hasa kama amewahi kukumbwa na tatizo la kuharibika kwa mimba kabla haijafikisha miezi mitano.

4. Afya mbovu ya kibofu cha mkojo ikiambatana na matatizo ya maambukizi kwenye mfumo mzima wa mkojo (UTI). Maumivu chini ya kitovu yanayohusisha afya mbovu ya kibofu cha mkojo huambatana na mgonjwa kutoa haja ndogo kidogo sana ila mara kwa mara.

•TIBA NA USHAURI
matatizo haya yanatibika, hivyo ni vizuri kwenda hospitali ili ufanyiwe uchunguzi na kupewa tiba sahilili kutokana na chanzo cha tatizo lako, pia tunazo dawa asilia/ Naturalceutical kwa ajiri ya Kutibu matatizo sugu ya UTI,PID,Na ambazo zinasaidia mayai kukomaa.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data