TIBA YA MATEZI/TONSILLITIS SUGU KWA WATOTO NA WATU WAZIMA

TIBA YA MATEZI/TONSILLITIS SUGU KWA WATOTO NA WATU WAZIMA - Tanzania
  • TIBA YA MATEZI/TONSILLITIS SUGU KWA WATOTO NA WATU WAZIMA - Tanzania
Description :

FAHAMU KUHUSU TONSILLITIS....✍️...?✍️...?✍️....?
Hii ni tatizo linalotokana na kuvimba kwa tezi zijulikanazo kama tonsils.

Tezi hizi zinazoitwa tonsils, hupatikana nyuma ya koo.

Sababu kubwa ya tatizo hili la tonsillitis ni baada ya tezi tezi hizo kushambuliwa na vijidudu vya magonjwa yaani virusi au bakteria.

DALILI.
1. Tezi kuvimba na kuwa nyekundu.
2. Kuhisi vidonda vya Koo
3. Maumivu ya koo wakati wa kumeza.
4. Homa.
5. Harufu mbaya ya mdomo.
6. Maumivu ya kichwa , shingo au tumbo.
7. Kama ni mtoto, kushindwa kunyonya au kula, kulia sana.

TIBA NA USHAURI
Matiba ya tonsillitis, huusisha matumizi ya dawa (antibiotics) katika hatua za awali.

Kama tatizo hili litakuwa linajirudia kila wakati basi mgonjwa atahitaji huduma ya upasuaji ili kuziondoa tezi hizi hizo ,pia Tunazo dawa za Asili/naturalceutical ambazo zimesheheni viini lishe ambavyo hutumika Kama mbadala wa upasuaji

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data