TIBA YA MATATIZO YOTE YA MACHO

TIBA YA MATATIZO YOTE YA MACHO - Tanzania
  • TIBA YA MATATIZO YOTE YA MACHO - Tanzania
Description :

Matatizo mengi ya macho hutokea endapo misuli inayoshikiria jicho italegea na kusababisha uchakavu wa macho kwa ujumla,inaeza kuwa Ni kwa sababu ya upungufu wa vitamins hasa vitamin A , magonjwa yanayoshambulia jicho,Umri pamoja na matumizi ya madawa kihorela.

Matatizo Kama vision changes,eye diseases Kama Gluocoma, cataracts, macular degeneration,Red eyes, matatizo katika Corneal, matatizo ya uone hafifu Colar blindness,Conjactivitis, ambalopia,presbopic pamoja na macho kuwasha,kutoa machozi hasa yapokutana na Mwanga either wa simu au computer pamoja ama Jua yote haya ya matatizo ya macho.

Dalili Kuu za matatizo mengi ya macho Ni pamoja na kichwa kuuma kwa mda mrefu ,macho kuuma ama kuwasha na kutoa machozi, mabadiliko katika kuona ,macho kubadilika Rangi, misuli ya macho kuvuta nk.

Kutegemea na Aina la tatizo la macho linalokusumbua upo uwezekano ukajitibia nyumbani na ukapona kabisa ama ukalazima kuonana na specialist wa macho na akakupatia usaidizi wa miwambo ingawa sio wote wengine huwa na uhitaji zaidi ya miwami

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data