TIBA YA MATATIZO AINA KUMI NA TANO YA MENO.

TIBA YA MATATIZO AINA KUMI NA TANO YA MENO. - Tanzania
  • TIBA YA MATATIZO AINA KUMI NA TANO YA MENO. - Tanzania
Description :

Changamoto nyingi za kinywa zinaeza kuzuilika kwa kuzingatia usafi wa kinywa "piga mswaki angalau Mara tatu kwa siku na uepuke mazoea ya kupiga mswaki mara moja tu kwa siku , Tumia herbal toothpaste na unaposafisha meno Hakikisha unasafisha vizuri na Ulimi kwa nyuma kwani kuna vimelea ambavyo hutunza mabaki ya chakula na hivyo huweza kusababishi Harufu mbaya mdomoni ,Kula chakula chenye afya "healthy diet ama balance diet bila kusahau vyakula vilivyosheheni vitamini C na madini mengine Kama phosphorus, calcium ambayo Ni mazuri katika fizi na meno, pia Jenga tabia ya kuonana na dentist Mara kwa Mara kwa ajiri ya chekup zaidi ili uweze kuepuka changamoto Kama.

Harufu mbaya mdomoni, meno kuoza ,meno kutoboka, infections katika fizi,meno kumeguka ,meno kelegea ,fizi kutoa Damu , Tatizo la cancer kutokana na kupata infections human papilloma Virus HPV, na fizi kufa gazi na kuuma unapokula chakula ama kinywaji Cha baridi , chakula Cha Moto Sana au vyakula vyenye Sukari,

changamoto zote hizi huchangiwa na Usafi hafifu wa kinywa ,ulaji wa vyakula vya Sukari Nyingi,uwepo wa infections katika kinywa ,kutokula mlo unaofaa ,kuvuta sigara na Tumbaku.

USHAURI NA TIBA.
Safishwa kinywa na herbal toothpaste atleast Mara tatu kwa siku hasa kila Unapomaliza kula ili kuondoa mabaki ya chakula katika ulimi, fizi na meno ambapo mabaki haya yanapokaa kwa mda mrefu katika kinywa husababisha shida zote hizo ambazo tumeona ,Epuka kutumia vitunguu swaumu,ama vitunguu maji kukata Harufu ya kinywa badala yake onana na daktari upate matibabu ,Kula mlo wenye Vitamini na madini ya kutosha epuka kula vyakula vyenye Sukari Wala kuvuta Tumbaku, pia tunazodawa za asili/ naturalceutical ambazo hutibu matatizo ya kinywa haswa kwa wale wanaotakiwa kung'oa ,kuong'oa hakumalizi tatizo ispokua unahamisha tatizo kutoka jino moja Hadi jingine kutokana na hivyo Dawa zetu za asili Zina viini lishe ambavyo husaidia kuondoa debris naturally katika kinywa ,kuua bacteria na infections wengine ,kuondoa maumivu na kujenga Upya ufizi kuweza kusaport mizizi ya jino na hivyo kuondoa Tatizo kabisa.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data