TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME.

TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME. - Tanzania
TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME. - Tanzania
TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME. - Tanzania
  • TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME. - Tanzania
  • TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME. - Tanzania
  • TIBA YA MADHARA YA PUNYETO/KUJICHUA KWA MWAUME. - Tanzania
Description :

kwanini watu wengi hasa vijana wanapenda kujichua na kufika hatua ya kushindwa kuacha......Ni kwamba sayansi Kama Sayansi haijaweka wazi, madhara anayoweza kupata endapo atafanya punyeto so kujichua ama kutokujichua Ni hiari ya mtu.... Sasa Nini kinapelekea vijana wengi wanajikuta hupenda kujichua Sana ,au swala zima la punyeto inahusika na Nini zaidi ? Ni kwamba mtu anapokua anajichua mwili huzalisha hormone kadhaa ambazo kwa ujumla wake humfanya mtu ajiskie vizuri na atamani kuendelea kujichua mfano hormones Kama DOPAMINE ambayo inahusika zaidi na kumfanya mtu awe na furaha , hormone Kama ENDOPHINS ambayo inaondoa stress ama mkazo na kumfanya mtu ajiskie vizuri,.... Hormone Kama OXYTOCIN hormone ambayo inamfanya mtu ajipende na ndio maana watu wanaojichua wengi Ni watu ambao hujiangalia wao kwanza na wengi sio watu wa mahusiano na wanawake , PROLACTIN Hormone ambayo inaongezeka mood lakini inafanya inaongeza Kinga ya mwili, hormones nyingine inayozalishwa NI TESTOSTERONE Hormone ambayo inahusika kuongeza nguvu na hamasa......Sasa kutokana na kuzalishwa kwa hormones hizi pindi mtu anapokuaa ana zichua ndipo unakuta Anajiskia vizuri ,msongo wa mawazo unaondoka , umakini katika kazi unaongezeka, kusaidia kulala , kumfanya mtu ajipende , Sasa unakuta vitu vyote hivi ama faida zote hizi mtu anazipata pasipo kugharamia ndio maana unakuta mtu akianza kujichua Ni vigumu kuacha hata Kama yupo kwenye ndoa ama mahusiano........

Sasa kutokana na kwamba zoezi zima la kujichua linatumia zaidi ubongo ambapo mtu lazima aangalie picha ama video za ngono ama avute hisia za image ya Mwanamke ,kitendo hiki hupelekea OVERPRODUCTION ya hormones hizi ambazo nimezieleza hapo juu na hapo ndipo tunaanza kuona athari kwa kila mmoja kulingana na Namna anavyojichua na athari huweza kutofautina ,unaeza kuona madhara mapema ama ukaja kuyaona baadae, Na ukitaka kujua Kama punyeto sio nzuri kiafya Ni pale ambapo hauwezi kutumia video ya ngono ama image ya Mwanamke mmoja kwa zaidi ya Mara tatu kuvuta hisia huwa ubongo unakulazimisha kubadili image ili upate hisia , hivyo hivyo hata ukioa una mchoka mkeo na inafika hatua anakua hakupi hisia na hapa ndipo shida nyingi zinapoanzia hata kwenye ndoa hapa mtu anakua tayari ameathirika kisaikolojia..... Sasa madhara ya overproduction ya hormone hizi Ni nini?

Madhara Kama KUWAHI KUFIKA KILELENI, KUSHINDWA kURUDIA TENDO NA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA....

Kwa upande mwingine kwa kuwa kitendo hiki Cha kujichua kinatumia nguvu physically Ni Rahisi Sana kuleta athari, Kama UUME KUJIKUNJA NA KUWA MDOGO NA KURUDI NDANI KAMA WA MTOTO MDOGO, kuwa mlegevu na kukosa nguvu kabisa,kuuwa pelvic floor ambazo zinahusika na good blood flow kwenye uume ,pia kitendo hiki kinahusisha na upotevu wa madini Kama calcium na zinc ambayo Ni mhimu katika mfumo wa uzazi mwwnaume na ni kutokana na hivyo Shida za maumivu ya kiuono ama kukakamaa mgongo au hata uchovu uchovu usioisha inakua Ni sehemu ya madhara ya punyeto

Pia kwa Dini zote zinakataza kupiga punyeto so unapopiga punyeto Ni dhambi mbele za Mungu
So unaeza kuona Richa ya kwamba sayansi haijaweka wazi madhara unayoweza kuyapata kwa kujichua lakini experience inaonesha kuwepo kwa madhara psychologically, physically pamoja spiritually Kama ambavyo nimeeleza.

Madhara yote haya yanatibika kwa haraka pale unapotoa ushirikiano na mtoa huduma ,utajengwa kisaikolojia pamoja physically na utaifurahia ndoa yako.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data