Tiba ya kuzibua mirija ya uzazi iliyojaa maji

Tiba ya kuzibua mirija ya uzazi iliyojaa maji - Tanzania
Tiba ya kuzibua mirija ya uzazi iliyojaa maji - Tanzania
  • Tiba ya kuzibua mirija ya uzazi iliyojaa maji - Tanzania
  • Tiba ya kuzibua mirija ya uzazi iliyojaa maji - Tanzania
Description :

FAHAMU TATIZO LA MIRIJA YA UZAZI KUJAA MAJI NA KUZIBA PAMOJA NA SULUHU YAKE ILI KUPATA MTOTO MIRIJAYA UZAZI KUJAAMAJINI NINI? Haliya kujaa maji kwa mirija ya uzazi ya wanawake huitwahydrosalpinx kwa kitaalamu. Ni tatizo ambalohujitokeza kwa wanawake kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaayasiyotibiwa (pelvic inflammatory disease). Mara nyingi husababisha tatizo la ugumba na maumivu ya kiuno. Mirija ya uzazi hujishikizakwenye upandewa kulia na kushoto wa tumbo la uzazi, hupitisha mayai kila mwezi kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mji wa uzazi. Urutubishaji wa yai la uzazi hutokea katika mirija hii.
SABABUZA MIRIJAYA UZAZI KUZIBA Mara nyingi mirijaya uzazi kuzibahutokana na; Pelvicinflammatorydisease unaotokanana maambukizi ya magonjwa ya zinaaambayo hayakutibiwakama kisonono naklamidia.TB ya mirijaya uzaziUpasuaji maeneoya kiunoni (pelvic surgery)EndometriosisMaambukizi ya apendiksi (appendicitis)Saratani ya mirija ya uzazi
DALILIZATATIZO HILI Wanawake wengi wanaweza wasiwe nadalili zozote,isipokuwa kupata matatizo katika kupata mtoto. Dalili zinazojitokeza mara nyingi huwa ni; Maumivu ya kiuno Hujitokezamara kwamarahasa sikuchache kablaaubaadaya kuingiakwenyehedhi. Uchafu kutoka sehemuza siri
JE,NAWEZA KUPATA MTOTO? Tatizo hili likitibiwa unaweza ukapata mtoto. Pale mirija inapokuwa imeharibika sana uwezekano wa kupataujauzito huwa ni mdogo sana.Njia nyingine saidizikama In Vitro Fertilization zinaweza kutumika.

MADHARA YA TATIZO HILI
Mirija ya uzazi ikiziba, mayai ya uzazi hushindwa kusafiri kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mjiwa uzazi. Hivyo tatizo la ugumba hujitokeza.Mimba kutunga nje ya mfuko wa mimba(Ectopicpregnancy) Maumivu ya kiuno VaginalAtrophy (kusinyaa kwaukena kushindwa kufanya tendo la ndoa) Kukosa hamu ya tendo la ndoa Kuwa mkavu Ukeni, na kuhisi maumivu makali wakati wa tendo la ndoa. tena. TIBA ASILA Tunadawa nzuri. sana za asili zitokanazona mchanganyikowa mimea mbalimbali ambazo **HUZIBUA MIRIJA YA UZAZI ILIYOZIBA KWA HARAKAnanisalama kwamtumiaji **HUPONYA KABISA TATZO LA KUJAA MAJI KWA MIRIJAYA UZAZI BILA UPASUAJI NB:Dawa hizihutibu nakuzuia tatizo lisijirudie tena.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data