TIBA YA KUOZA NYAMA ZA VIDOLE VYA MIGUU NA MIKONO"GENGRENE"

TIBA YA KUOZA NYAMA ZA VIDOLE VYA MIGUU NA MIKONO"GENGRENE" - Tanzania
  • TIBA YA KUOZA NYAMA ZA VIDOLE VYA MIGUU NA MIKONO"GENGRENE" - Tanzania
Description :

GANGRENE , UGONJWA WA KUOZA NYAMA ZA MWILI.
GANGRENE.
Ni hali ya tishu za mwili kufa kwa kukosa damu au maambukizi ya bacteria, hivyo kupelekea sehemu iliyoathirika KUOZA.

GANGRENE huathiri zaidi sehemu za miguu na mikono. Lakini pia huweza kuathiri sehemu zingine za mwili hata viungo vya ndani vya mwili.
DALILI.
•Kubadilika rangi ya ngozi ya sehemu iliyoathirika, kuwa huanza kuwa ya buluu, dhambarau, mpaka kuwa nyeusi.
•Sehemu iliyoathirika kuvimba au kupata malenge lenge.
•Maamivu makali na gafla na baadae kupata ganzi katika eneo lililoathirika.
•usaha au maji maji yenye harufu mbaya kutoka eneo lililoathirika.
•Ngozi kunyauka , kung'aa na kupoteza vinyweleo.
•Ngozi kuwa ya baridi hata ukiguza.
•Homa ya kiasi.
•Maumivu makali sana ya kichwa.
MATIBABU.
Matibabu ya ugonjwa wa kuoza Viungo yanahusisha kukatwa kiungo kilichoathiriwa,Ila kutokana na Ukuaji wa technologia Kuna dawa ambazo ni maalumu na zenye uwezo wa kutibu ugonjwa huu, Matumizi ya C24/7 pamoja na Choreduz yamekua msaada kwa watu wenye tatizo hili ,kwanza husaidia kufungua blood vessels na kuruhusu good supply ya Damu eneo lilokufa,ina anti-aging ambayo huondoa cell zote zilizodhoofika na kureplace cell mpya, vile vile ina DHA NA EPA ambazo husaidia kuimarisha afya ya ubongo, kuondoa maumivu ya kichwa na hivyo kuruhusu mawasiliano mazuri Kati ya ubongo na nerves za pembezoni, ina immunity kubwa hivyo kupambana na chanzo husika kwa ufanisi mkubwa,pia Ina Vitamin E ambayo husaidia kuondoa weusi Eneo lililokufa.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data