TIBA YA KUONDOA SUMU MWILINI

TIBA YA KUONDOA SUMU MWILINI - Tanzania
  • TIBA YA KUONDOA SUMU MWILINI - Tanzania
Description :

Kutokana na Mwili kuingia Kwenye Msongo wa sumu OXIDATIVE STRESS kumekua na ongezeko la magonjwa ya mashambulizi ya Kinga ya Mwili ikiwemo magonjwa ya Moyo ,Figo , Kisukari ,Ini , Saratani Aina zote, Pumu, UVimbe katika kizazi, Ugumba , matatizo ya Pressure low /High, kukosa Hamu ya tendo la ndoa nk.
Magonjwa haya kwa Kiasi kikubwa Huchangiwa na ulaji wa vyakula vyenye kiwango kingi Cha Free Radicals, aldehydes pamoja na peroxide, hizi Ni Sumu zinapokua Mwilini kwa mda Mrefu hupelekea kushambulia na kuleta uharibifu katika Cell hai na kupelekea changamoto tajwa hapo juu.
Sasa Mwili unapataje hizi Sumu ?
1.Ulaji wa vyakula vya wanga , Sukari,na mafuta (trans fatty acids) kwa kiwango kikubwa huchangia kupata hizi free Radicals, aldehydes na peroxide ambazo Ni hatarishi kwa afya.
2.matumizi ya Pombe na singara kupita kiasi.
3.matumizi ya madawa makali.
4 matumizi ya njia za uzazi wa mpango wa kisasa, kwa Wanawake,
5, kutumia dawa Mara kwa Mara
6, Uchafuzi wa mazingira ikiwemo Hali ya hewa na Maji.

Zipo Dalili ambazo zinaashiria kuwa Una Sumu nyingi Mwilini mfano, Mwili kuchoka, kukosa Usingizi,uzito kupindukia, kichwa kuuma ,kupumua kwa Shida ,kupata muwasho, maumivu ya viungo hususani katika magoti na mgongo, tumbo kujaa gesi za mara kwa Mara ,kuwa na hasira wakati Mwingine Mwili kukosa utulivu , kukosa choo kwa siku kadhaa ,matatizo ya Ngozi mfano kupata chunus vipele na muwasho.

USHAURI NA TIBA.
Matibabu hutolewa na daktari Mara baada ya Vipimo kutegemea na dalili ama athari ambazo tayari Mwili upo nazo Kama ambavyo nimeeleza hapo juu, Vile vile Unashauriwa kupunguza kula Wanga na Sukari kupita kiasi ,kula chakula Bora , kunywa maji Mengi na Ufanye mazoezi, habari Njema Ni kwamba tunazo pia tiba asilia/ Naturalceutical kwa ajiri ya kuondoa Sumu Mwilini ,Ikiwa unakula chips, kuku wa kisasa ,Ngano kupita kiasi, unatumia vinywaji vya viwandani ikiwemo soda,juice au hata bia ,ikiwa unakula wanga kupita kiasi ,nyama choma na bia ,unatumia Dawa zenye Chemikali mda Mrefu,Hali ya hewa chafuzi unahitaji detox pack ,ama tayari Una changamoto za mashambulizi ya Kinga ya Mwili mfano kisukari, figo,Ini , matatizo katika Mmeng'enyo wa chakula ,Ugumba/ matatizo ya Hormone,unene kupita kiasi matatizo ya Moyo na Pressure, tupigie ,haya Ni matokeo ya Mwili kushindwa kupambana na Mrundikano Wa Sumu Mwilini, bado una Nafasi ya kurebrand cell yako.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data