REFINED YUNZHI ESSENCE, TIBA YA KUONGEZA KiNGA YA MWILI.
Bidhaa hii imetengengenezwa na uyoga bila kuwekwa kemikali yoyote ile hivyo ni salama na inafaa kutumika na watu wa rika zote wake kwa waume na watoto. Refined yunzhi Essence ina -: Polysaccharide K (PSK) na polysaccharide peptide ambayo inafanya kazi ya kuzuia ukuaji wa seli usio wa kawaida.
Refined yunzhi essence inasaidia -:
1. Kuongeza kinga ya mwili, inawafaa watu wenye kinga ya chini ya mwili.
2. Inasaidia sana wanawake wenye uvimbe kwenye kizazi.
3. Inasaidia wagonjwa wa kansa wanaotumia tiba ya mionzi ya chemotherapy kwani hupunguza athari za mionzi na dawa za saratani kwa mhusika anayetumia.
4. Huimarisha mwili kujikinga dhidi ya vimelea vya saratani.
5. Kuongeza hamu ya kula 100%
6. Inasaidia kuondoa sumu mwilini
7. Hutatua tatizo la hormonal imbalance kwa wanawake.
DALILI ZA HORMONAL IMBALANCE KWA WANAWAKE-:
1. Kukosa hedhi kabisa
2. Kutoka hedhi zaidi ya siku 7 au chini ya siku 3.
3. Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi.
4. Kutoka hedhi nyingi sana au mabonge ya damu.
5.kuumia chini ya kitovu au kupata hedhi inayouma sana.
5. Kukua kwa tumbo la chini. Kama una matatizo tajwa hapo juu usisite kunitafuta
piga
Au
Tuma ujumbe watsapp upate huduma zetu
Tiba ya Kukosa Hedhi
Description :
Our safety tips
- Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
- At all costs, avoid paying before seeing the item.
- Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
- Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
- If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
- Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
- Beware of offers that are too good to be true.
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.