Tiba ya kukosa hamu ya tendo la ndoa

Tiba ya kukosa hamu ya tendo la ndoa - Tanzania
Tiba ya kukosa hamu ya tendo la ndoa - Tanzania
  • Tiba ya kukosa hamu ya tendo la ndoa - Tanzania
  • Tiba ya kukosa hamu ya tendo la ndoa - Tanzania
Description :

Matatizo Katika Mfumo Wa Homoni

Tumeshaona kwamba upungufu wa homoni inayoitwa testosterone unasababisha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Matatizo mengine katika mfumo wa homoni huchangia tatizo hili. Kama thyroid haitoi homoni za kutosha, tatizo hili huweza kutokea ingawa mchango wa thyroid katika tatizo hili ni mdogo sana. Thyroid ni kiungo cha kuzalisha homoni kilichopo katika eneo la shingo.

Tatizo hili linaweza kutokea pale homoni zinapozalisha kitu kinachitwa prolactin kwa kiwango kikubwa mno na kukisambaza ndani ya mfumo wa damu. Hali hii kiutaalamu huitwa hyperprolactinaemia

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data