Tiba ya kuishiwa damu Mara kwa mara

Tiba ya kuishiwa damu Mara kwa mara - Tanzania
  • Tiba ya kuishiwa damu Mara kwa mara - Tanzania
Description :

Aina za upungufu wa damu mwilini
Zipo aina mbalimbali za upungufu wa damu ikiwemo Haemolytic Anaemia. Hali hii ya upungufu wa damu, chembe nyekundu za damu huharibiwa haraka kuliko mwili unavyoweza kuzalisha chembe nyingine.

Upungufu huu husababishwa na mambo mengi ikiwemo kansa aina ya lymphoma au utumiaji wa baadhi ya dawa ambazo huweza kuangamiza chembe nyekundu za damu kwa mfano dawa aina ya Methylodopa.

Mtu mwenye aina hii ya upungufu wa damu anaweza kupatwa na homa, kutetemeka kwa mwili, maumivu ya tumbo na mgongo na mapigo ya moyo kushuka ghafla.

Pernicious anaemia: Huu ni upungufu wa damu unaotokana na ukosefu wa kutosha wa asidi aina ya Folic (Folate) katika chakula.
Asidi aina ya Folate hupatikana katika mbogamboga za rangi ya kijani, matunda na nyama.

Aplastica Anaemia:
Huu ni upungufu wa damu unaotokea wakati chembe nyekundu za damu zinaposhindwa kuzalishwa ipasavyo.

Sickle cell Anaemia:
Ni aina nyingine ya upungufu wa damu ambao chembe nyekundu za damu huwa na muundo usio wa kawaida unaozuia na kuathiri mishipa midogo ya damu na hivyo kusababisha kuziba kwa mishipa hiyo ya damu.

Dalili za upungufu wa damu mwilini (Anaemia) ni kuwa mtu mara nyingi huwa amepauka mwili na hujisikia kuchoka, udhaifu na huwa na mwendo kasi wa damu (yaani high pulse rate). Mgonjwa kuhisi kiu, kizunguzungu wakati akisimama, kuhema mfululizo na kuwa na mahangaiko ya moyo wakati akitumia nguvu kufanya jambo lolote.

Dalili nyingine ni mapigo ya moyo kwenda kwa kasi, kuhisi uchovu sana au hata kuishiwa kabisa na nguvu, maumivu ya kifua, kupoteza nguvu na macho kukosa nuru ya kuona vizuri.

Mkuu Kama aina zote hizo 3 huna Daktari amekwambia basi utakuwa unayo maradhi yanayo tokana na nguvu ya Giza uchawi tafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data