TIBA YA KICHOMI/VICHOMI

TIBA YA KICHOMI/VICHOMI - Tanzania
TIBA YA KICHOMI/VICHOMI - Tanzania
TIBA YA KICHOMI/VICHOMI - Tanzania
 • TIBA YA KICHOMI/VICHOMI - Tanzania
 • TIBA YA KICHOMI/VICHOMI - Tanzania
 • TIBA YA KICHOMI/VICHOMI - Tanzania
Description :

✍️.....?✍️....?✍️....?Tuseme kichomi huweza kuchangiwa na Sababu zaidi ya Moja,
Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.

Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi chunguza zaidi.

Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.

Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi kuzidi (acid reflux)

Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic

Jambo la kuangalia ni je?

Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
Umeinama au umelala
Ukishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.

Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa
wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimengenyui sawasawa linachoka.

Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo.

Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia mzunguko wa damu mwilini.
Hasa kama hunywi maji, hapa Unashauriwa kunywa Maji ya Vuguvugu yanasaidia kukupa Relief, baada ya hapo pata Suluhisho la kudumu.

Vile vile kichomi chaweza kuwa UVimbe Kwenye Ovary , Mirija ya Uzazi kuziba na P.I.D (matatizo ya Uzazi)

USHAURI NA TIBA.
Kuondoa Tatizo la Maradhi ya kichomi Utahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalamu, Unatakiwa kuonana na mtaalamu wa afya atakuchukua maelezo na kukufanyia Vipimo kujua chanzo husika kinachosababisha Kichomi ,Pia tunazo dawa za asili/Naturalceutical utakazo tumia kumaliza tatizo baada ya kupata Ushauri wa daktari.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data