Tiba ya kansa ya utumbo

Tiba ya kansa ya utumbo - Tanzania
Tiba ya kansa ya utumbo - Tanzania
  • Tiba ya kansa ya utumbo - Tanzania
  • Tiba ya kansa ya utumbo - Tanzania
Description :

"FAHAMU KUHUSU" SARATANI YA UTUMBO MPANA (COLONY CANCER)". Saratani ya utumbowa chakulanisaratani ambayohutokeakatika kifuko chamisuli midogomidogoiliyopokatiya eneo la juu ya tumbonambavu. Eneo ambalohupokeachakulanakusaidia kupokeanakukipelekakatika makutano ambayohusagwanamajimajiyake kuingia mwilini kwaajiliya kusaidia mfumomzima wa uendeshajiwamwili. Ikomifano mingikama vile utumiajiwa chumvi nyingi, uvutaji wasigara, vyakula vilivyokaushwakwamoshi (samaki, nyama), pombe nakemikali. VISABABISHI Umri mkubwa Matumiziya pombe nasigara Matumiziya DawazaAspirin, diclofenac na dicloparkwawenyevidondavyatumbo matumiziya chumvi nyingi Kukosamlo kamiliama kula vyakulaviingi vyenyekiwango kikubwa chawanga na mafuta, Kula vyakulavilivyokobolewanavilivyo changanywa namadawailivisiharibike, Mifumo hatarishiya maisha (Dangeraous Lifestyles) kama vile matumiziya pombena sigarakwawingi, Ukosefu wa kiwango chakutoshacha mbogamboganamatunda katikamilo yetu, Majiyasiyo salama, Kuvuta hewachafu. Chakulakutomeng'enywa vizuri (poor functionofdigestionsystem) Maumivi makali wakati wa kupatachoo, Uchafu uliokaa muda mrefu kugeukasumu, Bakteriawenyemadharakuzaliwa na kuathiri utumbompana naviungovingine mwilini. DALILI kupunguakwadamu mwilini kutoadamukatika njiaya hajakubwa maumivuyanayodumukwasekunde mbili nakuondoka kubadilika kwaratiba yakupata haja kubwa kupunguakwauzitowa mwili. Nature ya ugonjwahuuhasaunapowapata watu wazima wanashindwa kuelezea na kufanyaiweni jambo la siri. Kwawaliokosa matibabuharaka, inapelekiea utumbokutolewa nje nahaja kubwa kupitia kwenyemfuko maalum (colostomy).

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data