Tiba ya hormone imbalance

Tiba ya hormone imbalance - Tanzania
Tiba ya hormone imbalance - Tanzania
Tiba ya hormone imbalance - Tanzania
  • Tiba ya hormone imbalance - Tanzania
  • Tiba ya hormone imbalance - Tanzania
  • Tiba ya hormone imbalance - Tanzania
Description :

*DALILI ZA MVURUGIKO WA ```MFUMO WA HOMONI*
⏩ukavu ukeni.

⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

⏩Kutoa jasho usiku kusiko kawaida.

⏩ ```Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.

⏩Kukosa hamu ya tendo la ndoa.```

⏩Siku za hedhi kubadilika``` badilika.

⏩Kukosa hedhi kwa muda mrefu.

⏩Kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.

⏩Uchovu wa mara kwa mara.

⏩Hasira za mara kwa mara

⏩Kukosa usingizi

⏩Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.

⏩Mzio wa vyakula(allergy) kuchagua chagua vyakula.

⏩Kuongezeka tumbo na nyama uzembe.

⏩Kuharibika kwa ngozi (chunusi na vipele).

⏩Maumivu ya viungo.

⏩Upungufu wa nywele kichwani.

⏩Kusahau sana.

⏩kuwa na hamu ya vyakula au vinywaji vya viwandani.

⏩Kupata hedhi wakati wa ujauzito.

⏩Msongo wa mawazo.

⏩Kutopata choo kwa wakati.

⏩Kusinyaa au kupauka kwa ngozi.

⏩Maumivu ya kichwa mara kwa mara.

KAMA UNAPATA BAADHI YA DALILI HIZO USIENDELEE KUKAA NA KUSUBIRI TATIZO KUWA KUBWA KWANI MADAHARA YAKE NI.

⏩Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu.

⏩Mimba kuharibika mara kwa mara.

⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

⏩UTI.

⏩Kuzeeka mapema

⏩Kuziba mirija ya uzazi.

⏩ ```Uvimbe(fibroids &cysts).

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data