TIBA YA HATARI YA UZITO MKUBWA, KITAMBI NA UNENE KATIKA TENDO LA NDOA KWA WOTE MWANAUME NA MWANAMKE

TIBA YA HATARI YA UZITO MKUBWA, KITAMBI NA UNENE KATIKA TENDO LA NDOA KWA WOTE MWANAUME NA MWANAMKE - Tanzania
  • TIBA YA HATARI YA UZITO MKUBWA, KITAMBI NA UNENE KATIKA TENDO LA NDOA KWA WOTE MWANAUME NA MWANAMKE - Tanzania
Description :

Ukwel ni kwamba Uzito ama Unene mkubwa Huwa una athari Nyingi Mwilini , Kuongezeka kwa hifadhi mafuta Mwilini Huwa unavuruga hormones hasa "Insulin homone" ambayo kwa kiasi kikubwa unakuta ipo Kwenye damu kwa mda Mrefu kujaribu kushusha Sukari, Sasa hii hua inaleta athari katika hormones zingine ikiwemo hormones ya kiume "testosterone" Ongezeko la mafuta ama Unene huishusha hii hormone na hormones hii inaposhuka hupelekea Tatizo la nguvu za kiume ,Kama kuwahi kumaliza ,Kushindwa kurudia tendo, uume kusimama ukiwa legelege, misuli ya Uume na Body muscles kuwa dhaifu, kuchoka Sana pindi anapomaliza BAO moja kwa round ya dakika moja ama mbili, kukosa Kabisa Hamu ya tendo la ndoa ,Uume kusimama na kulala wakati wa maandilizi mpaka asukumizie ukeni Ndipo uweze kusimama pia uume unaeza kuwa mdogo zote Hizi ni changamoto zinazotokana na hormones hii ya kiume kupungua, pia Mvurugiko huu wa Hormones kutokana na Unene Kwa Upande wa Mwanamke unaeza pia kusababisha Ugomba mayai yakawa hayapevuki "anovulation", kupata hedhi bila mpangilio, Maziwa kuuma ,kujaa na kutokwa na maziwa wakati sio Mjamzito, ukavu Ukeni ,UVimbe na vimbe maji katika mayai nk ,pia Mwanamke anaathirika zaidi kisaikolojia Ikiwa Mwanaume ni Mnene halafu hawezi kufanya vizuri Katika tendo la ndoa , Mwanamke ni Rahisi kuchukia Tendo la ndoa na Mwanaume wake Kutokana na Hali ya kumuandaa na kumuachia maumivu, Mwanamke kukosa furaha na kuwa mwenye hasira ndani ya Nyumba , kupunguza Heshima Kwa Mme wake na Wengine huweza kuchepuka.

Sasa ufanyeje uweze kupunguza Unene ama Uzito?
Kumbuka nimekuambia Unene unaambatana na kuvuruga hormones kwa hiyo Kuna hormones zingine hasa Hizi appetite hormones "Ghrelin" Huwa zinaongezeka ,Mtu Mnene/mzito Hujikuta anapenda kula na vyakula vyao Huwa ni hivi hivi vyenye mafuta Mengi ama vinavyouweka Mwili katika hatari ya kuongezeka zaidi, Sasa mtu kama huyu anatakiwa kutibiwa kwanza Kuondoa ama kupunguza hii appetite hormone Ghrelin ambayo inamfanya mtu kupenda kula isivyo kawaida. Baada ya hapo Sasa Mwili ukisharudi Kawaida Mwenyewe utakua unajiongoza katika kula na hata nikikuambia tufanye diet utakuwa itakua Rahisi Sana Kwa kuwa tumeshusha kitu kinachokufanya upende kula Sana na hapa wengi wenu mmefanya diet imeshindikana unaanza inaishia njiani ama unafanya diet lakini haupungui ama unafanya diet lakini ndo kwanza unazidi kuongezeka kwa hiyo kwanza tushushe Hamu ya kula,baada ya hapo Upate utaratibu wa kula Vyakula vinavyofaa ,Milo mitatu Kwa siku yenye Mjumuiko wa Makundi yote mhimu ya chakula bila Kushinda njaa.

Jambo la Pili ni kwamba kutokana na Usugu unaojengeka katika ngazi ya cell kutokana na huu ulaji mbovu usiozingatia kanuni za Afya hadi kupelekea unene kupita kiasi ,Utalazimika kuondoa Usugu huu ili kupandisha hii hormone ya kiume testosterone Ili Sasa uweze kurudisha wako katika tendo la ndoa ,uume uwe na uwezo Wa kusimama Vizuri, upate Hamu ya tendo la ndoa , uwe na uwezo Wa kurudia tendo la ndoa pia ,uondoe Tatizo la kuwahi kufika kileleni na huu uchovu wa Mara Kwa Mara, kuondoa Tatizo la kuchelewa kumaliza ,tatizo mbegu chache, kuondoa Tatizo la uume kuwa mlegevu,na Hali ya kuingiza Ukeni Kwa kusukumiza pia Kwa upande wa Mwanamke atasaidika ikiwa Usugu huu katika ngazi ya cell utaondolea manake hedhi yake itakua Kwenye mpangilio,chance ya kushika ujauzito kuongezeka , Msongo wa Mawazo kupungua, kufurahia tendo la ndoa ,shida za Uvimbe na vimbe vimbe katika mayai , fungus Sugu ama PID huweza kuondoka , kupunguza Kasi ya mimba kuharibika.

Sasa Unaweza kupunguza hadi 10kg ndani ya week Moja Mpaka mbili ikiwa tuu utakuweka commitment ya Kuzingatia pia program na Usimamizi Kutoka kwangu ,Manaka unapata utaratibu wa kula na kunywa program ya Chakula kwa Mwanaume na Mwanamke , Msaada wa kisaikolojia, maelekezo ya mazoezi ambayo utaamua Kufanya ama lar Kuendana na mda atakaokuwa nao, pia kupata Usaidizi wa kuongeza uwezo Wa Katika Maandalizi kabla na wakati wa tendo la ndoa Kwa Wote Mme na Mke, tuwasiliane.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data