TIBA YA HARUFU MBAYA MDOMONI NA MENO KUUMA

TIBA YA HARUFU MBAYA MDOMONI NA MENO KUUMA - Tanzania
  • TIBA YA HARUFU MBAYA MDOMONI NA MENO KUUMA - Tanzania
Description :

HARUFU MBAYA MDOMONI "HALITOSIS"????.... Harufu mdomoni inatokana na Mambo kadhaa ikiwemo Usafi Duni wa kinywa ama kusafisha kinywa kwa mazoea Hali inayopelekea kuepo kwa mrundikano wa mabaki ya chakula katika meno na Ulimi kwa nyuma ambapo mabaki haya ya chakula yanapokaa kwa mda mrefu huweza kuoza na kutoa Harufu mbaya mdomoni..... Hapa una shauriwa kusafisha kinywa kila mara unapomaliza kula chakula Asubuhi,mchana na jioni, na Unashauriwa kutumia dawa za meno ambazo Ni herbal ,pia unapojisafisha Hakikisha unasafisha vizuri meno na fizi na Ulimi kwa nyuma husaidia kuondoa mabaki ya chakula katika vimelea vya ulimi ambapo kutosafisha vizuri hupelekea Harufu mdomoni...

Sababu nyingine Ni kama una infections katika pua ,mdomo ,Koo na tumbo hasa vidonda vya tumbo Ni vizuri Sana kutambua hilo wengi wanatumia dawa nyingi kujaribu kuondoa Harufu na hawafanikiwi kutokana na kutojua chanzo husika....

Sababu nyingine Ni kama tayari meno yako yanatatizo mfano yametoboka, yanaumaa ,una ganzi kwenye fizi nk.

USHAURI NA TIBA.
Unashauriwa kutotumia vitu Kama vitunguu maji ,swaumu ,nk kwa lengo la kuondoa Harufu mdomoni kwa sababu utapunguza Harufu kwa mda mfupi ,so Unashauriwa kutambua kwanza sababu inayopelekea kutoa Harufu mbaya katika kinywa baada ya hapo utapata matibabu ambayo Ni sahihi na utaondokana na changamoto yako hiyo, pia tunazo dawa za asili ambazo Ni mahususi kwa matatizo ya kinywa ,jino linauma ,jino limetoboka ,unapata ganzi katika fizi ,hakuna sababu ya kung'oa Tena.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data