TIBA YA GOITA/ROVU

TIBA YA GOITA/ROVU - Tanzania
TIBA YA GOITA/ROVU - Tanzania
  • TIBA YA GOITA/ROVU - Tanzania
  • TIBA YA GOITA/ROVU - Tanzania
Description :

Goita ni uvimbe usio wa kawaida wa tezi ya thyroid. Thyroid ni tezi yenye umbo la kipepeo iliyo sehemu ya chini ya shingo chini kidogo ya kikoromeo. Pamoja na kuwa goita hazina maumivu, goita kubwa inaweza kuleta kikohozi au kusabaisha matatizo ya kumeza au kupumua.

Chanzo kikubwa cha goita katika sehemu nyingi za dunia ni ukosefu wa madini ya iodine katika chakula. Katika maeneo ambayo madini ya iodine huongezwa kwenye chumvi inayotumika, goita huwa zinatokana na uzidifu au upungufu katika uzalishwaji wa homani ya thyroid au vivimbe vinavyojijenga kwenye tezi ya thyroid.

Tiba hutegemea ukubwa wa goita, dalili ambazo zimejitokeza na chanzo halis cha goita hiyo.

Si goita zote ambazo huonyesha dalili. Pale mabapo dalili zitaonekana, zinaweza kuwa:

1. Uvimbe unaooneka eneo inapoanzia shingo
2. Kusikia kubanwa kooni
3. Kukohoa
4. Sauti kukwaruza
5. Shida kumeza
6. Shida kupumua

Sababu zinazojitokeza mara nyingi zaidi ni:

. Upungufu wa iodine.
. Graves’ disease
. Hashimoto’s disease.
. Multinodular goiter.
. Solitary thyroid nodules.
. Thyroid cancer.
. Ujauzito.
. Kuvimba

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data