TIBA YA CHUNUSI SUGU

TIBA YA CHUNUSI SUGU - Tanzania
TIBA YA CHUNUSI SUGU - Tanzania
  • TIBA YA CHUNUSI SUGU - Tanzania
  • TIBA YA CHUNUSI SUGU - Tanzania
Description :

Chunusi ni tatizo la ngozi linalotokea wakati vinyweleo vinapozibwa na mafuta pamoja na seli za ngozi zilizokufa.

Kwa kawaida chunusi hutokea usoni, kifuani, mabegani na mgongoni.

Chunusi hutokea zaidi kwenye umri wa kubalehe, ingawa inaathiri watu wa rika lolote.

Chunusi huwaathiri takribani asilimia 80% ya watu wenye umri kati ya miaka 11-30.

Je? Unasumbuliwa Na Chunusi Zisizoisha?
Kama Tunavyojua USO Ni sehemu Ya Kwanza Kabisa Ambayo Mtu Akikutana Na Wewe Ndiyo Anaaza kukutazama, Na Ukiwa Na USO Wenye Chunusi Nyingi Na Madoa Madoa.. Unaondoa Ujasiri Wakumtazama Mtu USO Kwa Uso..

Elewa Sababu Za Kupata Chunusi.
1. Kuzalishwa mafuta kwa wingi
2. Vinyweleo kuzibwa na mafuta na ngozi iliyokufa
3. Bakteria
4. Kuzidi kwa homoni
5.Msongo Wa Mawazo
6.Kutumia Vipodozi Vyenye Mafuta na Kemikal.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data