TIBA YA BAWASIRI/ HERMORHOID/ PILES/ KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA INAYOWEZA KUAMBATANA NA MAUMIVU NA KUTOKWA NA DAMU

TIBA YA BAWASIRI/ HERMORHOID/ PILES/ KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA INAYOWEZA KUAMBATANA NA MAUMIVU NA KUTOKWA NA DAMU - Tanzania
  • TIBA YA BAWASIRI/ HERMORHOID/ PILES/ KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA INAYOWEZA KUAMBATANA NA MAUMIVU NA KUTOKWA NA DAMU - Tanzania
Description :

CHANZO CHA BAWASIRI/HERMORHOID/PILES/ KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA INAYOWEZA KUAMBATANA NA MAUMIVU NA KUTOKWA NA DAMU....✍️....?✍️...?✍️...?
Inapotokea mshipa wa Damu wa vein uliopo sehemu ya mwisho ya utumbo mpana ama unaeza kusema Rectum Unapovimba ndio tunasema Una Bawasiri/ hermorhoid /piles ,Sasa mshipa huu wa Vein unaeza kuvimba na kubakia ndani au ukatoka nje na ukawa na uwezo Wa kuuona kupitia haja kubwa, na Mara kadhaa Bawasiri huweza kutokea endapo kutakua na kuongezeka kwa pressure katika sehemu ya Chini ya tumbo "lower rectum" na ndio Maana sababu Kama kuongezeka uzito/ kuwa na Uzito mkubwa, kuharisha ,kupata choo kigumu au kutopata choo, ujauzito ,kula chakula ambacho hakina Roughages/ kambakamba, kuumia UTI wa mgongo,kujikamua Sana wakati wa Kujisaidia ,kujamiana kwa njia ya haja kubwa,kutumia vyoo vya kukaa ,kunyanyua vitu vizito nk,

Na dalili za Bawasiri hutegemea na Aina , ikiwa Ni Bawasiri ya ndani huwa haisababishi maumivu ingawa unaeza kutoa Damu wakati wa Kujisaidia haja kubwa, na ikiwa utajikamua Sana wakati wa Kujisaidia inaeza kusababisha Bawasiri itoke nje na kusababisha Maumivu....

Ikiwa Ni Bawasiri ya Nje,hutokea njia ya Haja kubwa ,ikibugudhiwa huwasha Sana na kuvuja Damu, Damu inayovuja huizunguka Bawasiri na kusababisha donge la Damu ambalo husababisha maumivu makali Sana na UVimbe,

Kwa hiyo Sasa Dalili za Jumla Ni pamoja na maumivu hasa wakati wa kukaa, miwasho sehemu za haja kubwa,haja kubwa iliyochanganyika na Damu , maumivu wakati wa Kujisaidia,na UVimbe sehemu ya haja kubwa

Ukiona Dalili hizi Nashauri Ukafanye kipimo , itasaidia kubaini Hali ya Bawasiri kwa ujumla baada ya hapo Utapata Usaidizi wa matibabu..

Kwa hiyo kutokana na Maelezo haya Manake kujikamua Sana wakati wa Kujisaidia sio Wazo zuri ,kukaa na Choo mda Mrefu au kutopata choo sio Vizuri, kukaa au kusimama mda Mrefu ,Uzito kuzidi vizuri Ukapunguza , kunywa maji ya kutosha ,fanya mazoezi madogo madogo, kula vyakula vyenye Roughages nyingi /kamba kamba/nyuzi nyuzi mfano matunda na mboga mboga , mizizi na nafaka zisizokoborewa... Ulaji wa Chips huwa unafyonza maji katika utumbo na hivyo kusababisha kupata choo kigumu Hivyo unapokula chips zako Hakikisha unapata na mboga mboga na matunda kwa wingi na sio Juice, tafuna mbegu Kama karanga ,korosho, mbegu za maboga nk zinasaidia kupata choo haraka na kilaini ikiwa unapata choo kigumu...

TIBA NA USHAURI.
Kuondoa Tatizo la Bawasiri/mgoro/piles/hermorhoid, itahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalamu, Unatakiwa kuonana na mtaalamu wa afya atakufanyia kipimo "proctoscopy" kinachoweza kubaini ukubwa wa Bawasiri, sehemu ilipoanzia na kuishia pamoja na hali ya Bawasiri, lakini pia huweza kubaini Uvimbe , vidonda na Mambo mhimu ya kimatibabu yanayohusu njia ya haja kubwa.pia tunazo dawa za asili/naturalceutical utakazotumia kumaliza Tatizo lako bila Operation/upasuaji baada ya kupata Ushauri wa daktari.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data