TIBA YA BAWASILI

TIBA YA BAWASILI - Tanzania
TIBA YA BAWASILI - Tanzania
  • TIBA YA BAWASILI - Tanzania
  • TIBA YA BAWASILI - Tanzania
Description :

IFAHAMU BAWASIRI na TIBA ZAKE
Huku ni kuathirika kwenye mishipa ya njia ya haja kubwa
Inapopasuka husababisha maumiv makal, Pia KINYAMA au UVIMBE hutoka kwenye tundu la haja kubwa au maeneo jiran.

CHANZO CHAKE
1.Kuharisha muda mref au
2.kupata choo kigumu au
3.kuwa na uzito mkubwa au
4.kufanya mpenz kinyume na maumbile

DALILI ZAKE
1.Kuwashwa Sana kwenye tundu LA haja kubwa
2.kutokwa na kinyama au uvimbe kwenye tundu
3.kinyesi kuwa na harufu kali
4.kinyes kuwa na dam au damu kumtanguliza kabla ya kinyes
5.kuwa na upungufu wa damu

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data