TIBA YA BAWASILI

TIBA YA BAWASILI - Tanzania
  • TIBA YA BAWASILI - Tanzania
Description :

DALILI ZA BAWASILI
?maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
?Damu kutoka wakati wa kujisaidia
?kupata muwasho sehem ya haja kubwa
?uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
?hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
?choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
?maumivu makali ya kiuno na mgongo
?tumbo kujaa gesi mara kwa mara
?kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
?kukosa usingizi
?watu wengine macho kuwa mekundu

ATHARI ZA BAWASILI

?kinyesi kutoka bila kujitambua ?kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ?kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume ?kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu ?kupata tatizo la kisaikolojia *_NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI_* ?kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi. ?kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku ?acha kufanya tendo kinyume na maumbile ?punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa. *MATIBABU KARIBU YAPO KARIBU*

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data