TEZI DUME

TEZI DUME - Tanzania
  • TEZI DUME - Tanzania
Description :

TEZI DUME

LEO nataka nizungumzie CHANGAMOTO ya SARATANI YA TEZI DUME.

SARATANI ya TEZI DUME inashika NAFASI YA TATU kwa kusababisha VIFO vinavyotokana na KANSA kwa WANAUME duniani.

UGONJWA huu ni chanzo kikuu cha VIFO vinavyosababishwa na SARATANI kwa WANAUME wenye UMRI wa kuanzia MIAKA 45 na kuendelea, hata hivyo, SARATANI ya TEZI DUME kwa sasa inawapata sana WANAUME kuanzia MIAKA 25.

Kwa ufahamisho tu ni kwamba NENO SARATANI ni JINA la UGONJWA ambalo hutokea wakati chembechembe HAI au SELI katika sehemu fulani ya MWILI zinapoanza kukua bila kufuata utaratibu wa MFUMO WA MWILI na kutengeneza VIJIUVIMBE vidogo vidogo.
Kwa kawaida SELI huwa ZINAJIGAWA, KUPEVUKA na baadaye ZINAKUFA.

Utokeaji wa SARATANI ni pale ambapo SELI zilizotakiwa KUFA hazifi, zinaendelea kuishi wakati huohuo zile MPYA zinazidi KUZALIWA.

Ukweli ni kwamba WANAUME WOTE wanazaliwa na TEZI DUME lakini baada ya BALEHE Tezi dume huongezeka UKUBWA mara Mbili.
Na ikifika MIAKA 30 TEZI DUME huanza kukua haraka zaidi.Hii ni kwa sababu UKUAJI wa TEZI DUME huenda sambamba na UMRI.

Kuna VIHATARISHI vingi vinavyochangia MWANAUME kupata SARATANI ya TEZI dume.

Vifuatavyo ni baadhi yake:-

-UMRI. Nafasi ya kupata SARATANI ya TEZI DUME huongezeka sana hasa ukifikia UMRI wa karibu MIAKA 50 na kuendelea.
-NASABA ni kihatarishi kingine ambapo WANAUME wenye HISTORIA ya tatizo hili kwenye FAMILIA ZAO,wale ambao MMOJA WA NDUGU ZAO wamewahi kuugua UGONJWA huu, huwa katika HATARI ya kupata SARATANI hiyo kutokana na KURITHI JENI za UGONJWA huo.
-Suala jingine ni LISHE ambapo WANAUME wanaopenda KULA NYAMA(red meat) na WALAJI wa CHAKULA chenye kiasi kikubwa cha MAFUTA hasa ya WANYAMA, huwa katika HATARI KUBWA ya kupata SARATANI ya TEZI DUME.
-Pia wataalam wanatumbia kuwa,WANAUME wasiopenda kufanya MAZOEZI,WANENE na WENYE UPUNGUFU wa VIRUTUBISHO vya VITAMIN E pia wako kwenye HATARI ZAIDI ya kupata SARATANI ya KIBOFU cha MKOJO.
-WANAUME wengine walio katika HATARI KUBWA ya kupata saratani ya TEZI DUME ni pamoja na wale wenye ASILI ya AFRIKA(Weusi), ikilinganishwa na WAZUNGU.
-WAKULIMA wanaotumia aina fulani ya MBOLEA za KEMIKALI, wanaofanya kazi katika viwanda vya kutengeneza matairi na wachimbaji madini, hususani aina ya cadmium

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

Katika HATUA zake za AWALI, dalili za saratani ya TEZI DUME hazitofautiani na zile za KUVIMBA kwa TEZI DUME au BPH. Dalili hizo ni pamoja na:-

1.Kupata SHIDA wakati wa kuanza KUKOJOA.
2.Kutiririka kwa MKOJO baada ya KUMALIZA kukojoa.
3.Kukojoa MKOJO wenye mtiririko DHAIFU.
4.Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za USIKU.
5.KUJIKAKAMUA wakati wa kukojoa na KUSHINDWA kumaliza MKOJO wote.
6.Kutoa MKOJO uliochanganyika na DAMU.

KITAALAM imethibitika kuwa endapo MWANAUME HUYU hasa mwenye MIAKA kuanzia 30 atapata VIRUTUBISHO maalum vya VITAMINI na MADINI anaweza KUEPUKA CHANGAMOTO HII.

KUPITIA BIDHAA ZETU ZENYE WINGI WA MADINI NA VITAMINI MAALUM KWA AJILI YA MIILI YETU NI KINGA TOSHA YA KUWAEPUSHA WANAUME KUPATA TATIZO HILI. PIA KWA WALE AMBAO TAYARI WANALO TATIZO HILI NJOO TUKUSAIDIE KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HII KWA KUKUPONYA BILA KUFANYIWA UPASUAJI.

VIRUTUBISHO VYETU vina UWEZO MKUBWA wa KUPAMBANA na SARATANI ya TEZI DUME kwani zikiingia MWILINI, bidhaa hizi huenda KUONDOA UVIMBE na KUUA zile SELI za SARATANI zilizoanza KUZALIWA.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data