TAULO ZA KIKE ZA KUFUA/RE USABLE PADS

TAULO ZA KIKE ZA KUFUA/RE USABLE PADS - Tanzania
TAULO ZA KIKE ZA KUFUA/RE USABLE PADS - Tanzania
  • TAULO ZA KIKE ZA KUFUA/RE USABLE PADS - Tanzania
  • TAULO ZA KIKE ZA KUFUA/RE USABLE PADS - Tanzania
Description :

*TAULO ZA KIKE ZA KUFUA*

*Kwanini Utumie Taulo za Kike za Kufua??.*1:Hazina kemikali ni kitambaa Asilia Kabisa Hapa Utajiepusha Na Kansa Ya Shingo ya kizazi UTI Fangasi na Harufu Mbaya Ukeni


2:Ni Economy /Kupanga Matumizi Maana Hichi kifungashio Kimoja Unaweza Ukatumia Zaidi Ya Miaka Mitano 5+

3:Unakuwa Huru Siku Nzima Kitambaa Chake Kinafyonza Damu Vizu na Nilaini sana!!

4:Inabebeka Kirahis Unaweza Kutembea Nayo kwenye Pochi kila siku
5:Inafulika Kirahisi kwa Sabuni Ya Unga na Kipande


6:Bei Yake ni nafuu mtu Yoyote Anaweza Nunua

7:Nirafiki ya Mazingira Ukilinganisha na Zile Nyingine
Zinakaa Nne Kubwa 1 na Saizi Ya kati Tatu

Okoa pesa Na Afya Kwa Kutumia Taulo Za Kufua zinapatikana kwa Jumla na Reja Reja piga

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data