Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume - Tanzania
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume - Tanzania
  • Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume - Tanzania
  • Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume - Tanzania
Description :

Tatizo la nguvu za kiume.
imalisha nguvu za kiume, rudisha heshima ya ndoa,
jenga ndoa yako vizuri.

nguvu za kiume ni nini?
nguvu za kiume ni muunganiko wa vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe.

visababishi vya upungufu wa nguvu za kiume:

1. Kujichua/punyeto (masturbation);
2. kisukari,presha ya kupanda,presha ya kushuka.
3. uvutaji wa sigara
4.unywaji wa pombe
5.madawa ya kulevya 6.kufanya kazi kupita kiwango
7.Kukosa muda wa kupumuzika,
8.Matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
9. kutokunywa maji ya kutosha
10.Kutofanya mazoezi. N.k

dalili za upungufu wa nguvu za kiume

1.Kuwai kufika kileleni mapema sekunde chache au baada ya kuugusa tu mlango wa uke
2.uume kuwahi kulegea
3.kuhisi harufu mbaya,kichefuchefu mara baada tu ya kumwaga mbegu za kiume
4.Mwili kuchoka sana baada ya tendo la ndoa huambatana na usingizi mzito,
5.Kuhisi maumivu makali kwenye korodani mara baada ya kumaliza tendo la ndoa,
6. Kutokuwa na hamu ya tendo mara baada ya kuanza kufanya tendo.
6.kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenzi wako.

madhara ya upungufu wa nguvu za kiume:

1.Kupatwa na hofu kubwa nakuogopa kukutana na mwenzi wako kwa kuogopa kuaibika.
2. inakupelekea kubugia madawa yoyote utakaysikia kuwa yanatibu tatizo badala yake kuliongeza maradufu.
3. msongo wa mawazo ambao utapelekea upate magonjwa mengine hatarishi. (blood pressure)
4. kutokuwa na amani kwa ujumla katika maisha yako ya kimahusiano.

wasiliana nasi kupata ushauri na matibabu

nikuhakikishie kuwa tatizo hili linatibika kabisa
karibu nitakusaidia.
wapenzi somo hili litakuwa msaada kwa watu wenu wakaribu mkawasaidie jamani nguvu za kiume ndo kiwanda hicho muhimu sana...

wasiliana nasi kwa msaada zaidi kupitia.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data