TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUISHA KABISA KWA VIRUTUBISHO

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUISHA KABISA KWA VIRUTUBISHO - Tanzania
TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUISHA KABISA KWA VIRUTUBISHO - Tanzania
 • TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUISHA KABISA KWA VIRUTUBISHO - Tanzania
 • TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HUISHA KABISA KWA VIRUTUBISHO - Tanzania
Description :

KWANINI UNAENDELEA KUKAA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME????.....

UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.

Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

Kisukari

Kuwa na mawazo na wasiwasi

Matumizi ya madawa mbalimbali

Umri hasa wazee

Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

Kuwa na tatizo la kibofu

Tabia za kujichua kwa mda mrefu

Kutopata usingizi kamili

Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;

Kuwahi kufika kileleni

Kukosa hamu ya mapenzi

Kushindwa kurudia tendo la ndoa

Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine

Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

Balansi usito wako

Usivute sigara

Punguza au acha kunywa pombe

Punguza mawazo

Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi

Kunywa maji ya kutosha

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa kwa virutubisho japo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.

Tuna virutubisho vya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambavyo ni ya asili visivyo na kemikali ambavyo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.Virutubisho hivyo hutibu kwa mda  kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unapelekea kuongeza t

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data